BLOG HII NI KWA MATUKIO NA HABARI ZA NDANI NA NJE YA NCHI,SKENDO, MAHUSIANO, VITUKO, AFYA NK kama una habari piga 0742370795
Jumatatu, 14 Agosti 2017
Cristiano Ronaldo apewa kadi nyekundu mechi ya El Clasico-john_de_mkali
Cristiano Ronaldo
alifunga bao lakini baadaye akafukuzwa uwanjani huku Real Madrid
wakilaza Barcelona 3-1 katika Super Cup ya Uhispania, mechi ya mkondo wa
kwanza.
Gerard Pique alijifunga kutoka kwa krosi ya Marcelo kabla ya Lionel Messi kusawazisha kupitia mkwaju wa penalti.Jumamosi, 12 Agosti 2017
Jumamosi, 26 Novemba 2016
Kutana na mwanamke mnene kuliko wote duniani… Ana uzito wa kilo 500. john de mkali
Kazi yangu ni kuhakikisha kila
siku nakuletea habari mpya na uhakika popote ulipo mtu wangu na nimekula
kiapo kwako kulitekeleza hilo na leo nimeipata hii kutoka nchini Misri
kuhusu Mwanamke mnene kuliko wote duniani ambaye anatajwa kufikisha
uzito wa kilo 500.
Alhamisi, 17 Novemba 2016
Unapenda Kufanya Mapenzi; Style 6 Za Kuifundi za Kumkuna Mpenzi Wako..! john de mkali
“Ndugu wasomaji wangu, katika pitapita
nyingi katika mitandao tofauti nikakutana na habari njema kama hii,
nikizingatia pia wasomaji wengi hupenda sana elimu hii nikaamua kuchukua
nafasi hii kuhakikisha unafikiwa na uhondo huu, napenda kukushirikisha
kwani wengi waliopo katika mahusiano wanamengi sana yanayowakumba hasa
katika kupeana tamu tamu za radha tofauti.
WhatsApp Video Call Tayari; La Kufanya Kuiwezesha Simu Yako. john de mkali
Hivi sasa mnamo tarehe ya jana 15/11/2016
simu nyingi zilipata updates mpya inayokuwezesha kupiga simu ya video
kupitia WhatsApp.
Mmiliki wa mtandao huo Bw. Mark
Zucherberg kupitia ukurasa wake wa facebook aliandika kuwa “…sasa
tunawaletea video call kupitia whatsapp, ikiwa simu ya sauti ya kawaida
ilikuwa kwa haraka zaidi na ombi
Ajali ya basi la LA POWER TOOL. john de mkali
Basi ya kampuni ya LA Power Tool
lililokuwa linatokea nchini Zambia kuja Tunduma limepata ajali mbaya na
kuua abiria wote, ni abiria wawili tu ndio waliotoka salama, chanzo cha
ajali bado hakijajulikana.
MWANDISHI WA HABARI MCHAFU KULKO WOTE. john de mkali
Raphael Tenthani inasemekana kuwa ndiye mtangazaji mchafu zaidi kutokea duniani
Raphael mara zote utakazo kutana nae huwezi ukamkuta nadhifu , mara
kwa mara utamkuta amevaa nguo zilizo chakaa na muda mwingine nguo zenye
matobo au virakaMwanamke Subiri Uvuliwe, Usivue Mwenyewe. john de mkali
Kuna tabia fulani kwa baadhi ya wanawake mnapokua faragha kukimbilia kuvua nguo, badala ya kusubiri kuvuliwa na mpenzi wake.
Chereko Za Wimbo Wa SALOME Zamliza Saida. john de mkali
john de mkali
Anga la burudani nchini hivi sasa lipo
kwenye msisimko wa tenzi ya Wasanii Diamond Platnumz na Raymond ambao
wameachia songi la Salome, ambalo ni marejeo ya songi pendwa
lililloimbwa mwaka 2000 na dada yetu wa Kihaya, Saida Karoli, liitwalo
‘Maria Salome’ almaarufu ‘Chambua kama karanga’..
Ijumaa, 19 Juni 2015
Jumatano, 27 Mei 2015
Alhamisi, 16 Aprili 2015
Kumbe nay wa mitego ni Freemason...!!! john de mkali

Kama wewe ni msikilizaji wa nyimbo za mkali wa bongofleva Nay wa Mitego nina uhakika utakua umeisikia sana namba 966 ambayo huitaja sana kwenye mashairi yake lakini mpaka sasa hajawahi kusema ina maana gani.
Kwenye exclusive na millardayo.com juzi Nay alisema kuna siku tu atakuja kueleza maana ya hii namba pamoja na baadhi ya alama ambazo amekua akizitumia kwenye picha zake za video ambazo zimesababisha Mama yake mzazi kumuita na kutaka amweleze zina maana gani manake amekua akisikia watu wengi wakimuusisha Mwanae na imani ya Freemason
Pamoja na kwamba wengi walianza kuzihusisha hizi alama na hii namba imani ya kuabudu Miungu, Nay amesema hayuko kwenye dhehebu lolote ambalo linaabudu Miungu, watu wavute subira iko siku atasema kila kitu ikiwemo mipango yake na hii namba ambayo inaonekana ameiandalia kitu kikubwa mpaka kulichukulia gari lake jipya.
Hii namba unayoiona hapa kwenye picha ya kwanza haijamuangukia bahati mbaya bali alifanya namna mpaka akaipata wakati wa kwenda kusajili gari lake kwenye mamlaka ya mapato Tanzania (TRA)

Alhamisi, 19 Februari 2015
Picha ya Wema Sepetu Aliyojibinua Tako Yaleta Vijimaneno, Wengi Wamtaka Aache Maisha ya Maigizo ..Soma Hapa john de mkali
Udaku Special Kutoka Insta: Leo nimepitia ukurasa wa Malkia wa Insta nikakutana na Picha hiyo ya Wema Akiwa ameegemea gari aliyopewa kama zawadi na Martin Kadinda siku ya Birthday yake huku akiwa amekibinua cha chini ya mgogo ..Baadhi ya watu wamemsifia na wengine kujaribu kumshauri ..Soma Comments hapo chini kutoka ukurasa huo :
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)












.jpg)