Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo HABARI ZA WASANII. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo HABARI ZA WASANII. Onyesha machapisho yote

Alhamisi, 17 Novemba 2016

Chereko Za Wimbo Wa SALOME Zamliza Saida. john de mkali

john de mkali
Anga la burudani nchini hivi sasa lipo kwenye msisimko wa tenzi ya Wasanii Diamond Platnumz na Raymond ambao wameachia songi la Salome, ambalo ni marejeo ya songi pendwa lililloimbwa mwaka 2000 na dada yetu wa Kihaya, Saida Karoli, liitwalo ‘Maria Salome’ almaarufu ‘Chambua kama karanga’..

Alhamisi, 19 Februari 2015

Picha ya Wema Sepetu Aliyojibinua Tako Yaleta Vijimaneno, Wengi Wamtaka Aache Maisha ya Maigizo ..Soma Hapa john de mkali


Udaku Special Kutoka Insta: Leo nimepitia ukurasa wa Malkia wa Insta nikakutana na Picha hiyo ya Wema Akiwa ameegemea gari aliyopewa kama zawadi na Martin Kadinda siku ya Birthday yake huku akiwa amekibinua cha chini ya mgogo ..Baadhi ya watu wamemsifia na wengine kujaribu kumshauri ..Soma Comments hapo chini kutoka ukurasa huo :

'Jack wolper Kanipora Mpenzi Wangu ' Mwanaume Alalamika, Asimulia Alivyoporwa ...john de mkali

MSANII wa filamu Bongo, Jacqueline Wolper amedaiwa kumchukua mpenzi wa msanii wa filamu ambaye pia ni mpigapicha, Farid Jamal ‘Farid Uwezo’  aliyejulikana kwa jina moja la Vivian.

Jumapili, 7 Septemba 2014

Diamond afanya yake afrika kusin


Siku ya Jana mwanamuziki nguli wa Bongo fleva , Diamond Platnumz yupo nchini Africa Kusini akishoot kipindi na Televisheni ya MT

Ijumaa, 5 Septemba 2014

Jumamosi, 31 Mei 2014

JOHN DE MKALI; Utata Mtupu!! UCHAWI WAHUSISHWA KIFO CHA MSANII WA BONGO MOVIE RACHEL HAULE NA MTOTO WAKE,JENEZA HALIKUINGIA NDANI

Mume wa marehemu Saguda akilia kwa uchungu kwenye jeneza la Rachel  Haule ‘Recho’ au Sheila.
 

VILIO! Vilio! Vilio! Wakati aliyekuwa mwigizaji wa sinema za Bongo, Rachel  Haule ‘Recho’ au Sheila na mtoto wake wakizikwa jana kwenye Makaburi

JOHN DE MKALI; TAZAMA PICHA ZA MATUKIO YA MSIBA WA RACHEAL HAULE.

 Picha ya Marehemu Sheila Leo Haule (Rachel) ikiwa pembeni ya Jeneza lake mchana wa leo wakati wa kuagwa kwa mwili wake,kwenye viwanja vya Leaders Club,Jijini Dar es Salaam.

john de mkali; RACHEL BONGO MUVI AFARIKI DUNIA.

Msanii wa Bongo Movie, Rachel Haule 'Recho' (pichani), amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es slaaam.

Jumamosi, 24 Mei 2014

john de mkali; Hatimaye WASTARA apata Mchumba LONDON…Avishwa pete..!!

wastara
From London With Love …!!! Star mkubwa wa filamu nchini Tanzania Wastara Juma ambaye kwasasa yupo London Uingereza amevishwa pete ya uchumba huko na mwanaume anayeonekana hapo pichani. Wastara aliweka picha kadhaa kwenye akaunti zake za mitandao ya kijamii na wengine kudhani ni filamu mpya.

john de mkali; Mwili wa Amina Ngaluma wawasili nchini jana usiku….

Amina Ngaluma 'Japanese' enzi za uhai wake.
Amina Ngaluma ‘Japanese’ enzi za uhai wake.
MWILI wa mwimbaji mahiri nchini aliyefariki dunia wiki iliyopita nchini Thailand, Amina Ngaluma ‘Japanese’ umewasili jijini Dar es Salaam jana usiku huu.
Nyota huyo wa zamani wa bendi mbalimbali nchini ikiwamo Double M Sound, African Revolution ‘Wana Tamtam’, mpaka mauti yanamfika alikuwa mwanamuziki wa bendi ya Jambo Survivors.
Kwa mujibu wa mume wa marehemu, Rashid Sumuni, msiba upo kwa wazazi wa marehemu Kitunda, Machimbo, Dar es Salaam ambako ndiko maziko yatafanyika hapo kesho mchana.
MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU AMINA MAHALI PEMA PEPONI. AMEN!

john de mkali; Wema,Mtitu wakwidana live wakiporomosheana kashfa na matusi mazito….!!

KIMENUKA! Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu na Mkurugenzi wa Kampuni ya Five Effects, William Mtitu wamekwidna ‘live’ ndani ya gari, Risasi Jumamosi lina kisanga kamili.
wemakilioStaa katika tasnia ya filamu za Kibongo, Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu

john de mkali; Gabo apata ajali mbaya ya gari….!!

MWIGIZAJI wa Bongo Movies, Salim Ahmed ‘Gabo’ amepata ajali mbaya ya gari maeneo ya Kiwalani jijini Dar.Kwa mujibu wa chanzo makini, Gabo aliyekuwa katika gari binafsi, aligongana na gari lingine na kupata jeraha mguuni hivyo kulazimika kulazwa kwa takriban wiki tatu kisha kuruhisiwa mwishoni mwa wiki iliyopita.
gaboMwigizaji wa Bongo Movies, Salim Ahmed ‘Gabo’
Akizungumza na paparazi wetu baada ya kutoka hospitali, Gabo aliyeitendea haki Sinema ya Majanga ya Mahsein Awadh ‘Dk Cheni’, alieleza mazingira ya ajali.

john de mkali dr chen alishwa sumu lulu aa

Katika hali ya kushangaza na isiyo eleweka mwigizaji Mahsein Awadhi maarufu kama Dr. Cheni amekumbwa na balaa la kulishwa chakula chenye sumu weekend iliyopita alipokuwa kwenye sherehe moja ya harusi jijini Dar es Salaam alipohudhuria kama MC au mshereheshaji wa harusi hiyo.

Akiongea leo asubuhi, Dr. cheni alisema kuwa baada ya kumaliza kula chakula ambacho alipakuliwa na mmoja wa wahudumu wa sherehe hiyo alianza kujisikia vibaya na kuishiwa nguvu na aliamua kutoka nje kujaribu kupata hewa akidhani ladba ni joto la ukumbini ila hali ilizidi kuwa mbaya na aliamua kutafuta maziwa akihisi labda inaweza kuwa vidonda vya tumbo ndipo alipoanza kutapika na baadae kukumbizwa hospitalini na ndipo alipogungulika kuwa amelishwa chakula chenye sumu.

Tulipomuuliza labda sababu gani anahisi zinaweza kuwa zimepelekea watu hao kutaka kumdhuru alisema kuwa, mpaka sasa hajaweza kupata jibu kamili ila anaamini watu waliofanya hivyo wanamfahamu na wana nia mbaya sana kwake na sio watu wema.

Jumamosi, 26 Aprili 2014

john de mkali; davido aonesha jeuri ya pesa anunua mkoko wa mwaka 2014

Show za kimataifa anazofanya Davido na utajiri wa familia yake unamweka kwenye nafasi nzri na kupata kila atakacho kwenye maisha. Ni Hit maker mkubwa Africa kwa

Jumatano, 23 Aprili 2014

john de mkali; ebu mcheki nick minaj alivyo badilika


Nicki Minaj is beginning to tone down her usual outlandish/eccentric style.

JOHN DE MKALI; WEMA SEPETU NDIYE IJUMAA SEXIEST GIRL

STAA wa filamu Bongo, Wema Isaac Sepetu ameibuka mshindi katika shindano la Ijumaa Sexiest Girls akiwabwaga Elizabeth Michael ‘Lulu’, Nelly Kamwelu, Jacqueline Wolper na Jokate Mwegelo usiku huu ndani ya Dar Live.

JOHN DE MKALI; WEAMA,PENNY WAIPASUA FAMILIA YA DIAMOND

Stori: GLADNESS MALLYA NA CHANDE ABDALLAH

BOOOM! Katika hali ya kushangaza, mastaa wawili Bongo, mwigizaji Wema Isaac Sepetu na mtangazaji wa DTV, Penniel Mungilwa ‘Penny’ wanadaiwa kuipasua familia ya kinara wa Bongo Fleva, Nasib Abdul ‘Diamond Platnumz’, Ijumaa Wikienda lina ripoti kamili.