Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo maajabu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo maajabu. Onyesha machapisho yote

Jumamosi, 26 Novemba 2016

Kutana na mwanamke mnene kuliko wote duniani… Ana uzito wa kilo 500. john de mkali

Kazi yangu ni kuhakikisha kila siku nakuletea habari mpya na uhakika popote ulipo mtu wangu na nimekula kiapo kwako kulitekeleza hilo na leo nimeipata hii kutoka nchini Misri kuhusu Mwanamke mnene kuliko wote duniani ambaye anatajwa kufikisha uzito wa kilo 500.

Jumatano, 27 Mei 2015

Dizain hii beyonce anamchokoza mungu.. john de mkali


Mwanamuziki na mke wa jay z beyonce amewashangaza baadhi ya watu. Hii ni baada ya kuanzisha kanisa lake na kujiita kua yeye ndie yesu na mungu.


kanisa hilo litaanza kazi yake mapema mwaka huu na litaitwa National church of bey


na biblia yake ni tofauti na nyingne.



tuachie maoni yako.

Jumanne, 30 Desemba 2014

nisheeeeeeeedaaaaaaah!!!!! mdada huyu kila akilia analia machozi ya damu ...... john de mkali


Kijana wa miaka 19 ambaye ni msichana, Delfina Cedeno anasumbuliwa na magonjwa ya Ajabu ambapo unaambiwa akilia huwa anatoa damu na sio

Jumamosi, 26 Julai 2014

john de mkali; Hiki ndio kijiji ambacho Meya wake alipiga marufuku watu kufa

SarpourenxKuna habari za matukio kwenye hii dunia ambazo ukipewa unaweza kukataa au kuwa mbishi kukubali ila ni habari za kweli kama hii ya kijiji cha Sarporeunx huko kusini mashariki mwa Ufaransa ambacho Meya wake alipiga marufuku watu kufa baada ya kuishiwa maeneo ya kuzika watu.

john de mkali; Hapa kuna picha 17 na taarifa ya shehena iliyokamatwa kenya na hivi viungo vya binadamu ikisemekana vinatumika kwenye dini ya kishetani.

Wengi walioipata hii taarifa wanashangaa imekuaje ni viungo tu vya binadamu vimepatikana kwenye kontena zima vikiwa vinaingizwa Kenya? vinakwenda wapi? kazi yake ni nini?