Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo habari za nje. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo habari za nje. Onyesha machapisho yote

Jumatatu, 14 Agosti 2017

Mambo manane kuhusu kutumia mkono wa kushoto- john de mkali

Haki miliki ya picha PSCU
Image caption Rais Kenyatta na Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu. Wote wawili hutumia mkono wa kushoto
Watu wengi duniani hutumia mkono wa kulia kwa shughuli nyingi na si ajabu kwamba vitu vingi huundwa kwa kuwafikiria wanaotumia mkono wa kulia.

Ijumaa, 5 Septemba 2014

BOKO HARAM WAZUIA WATU KUZIKA MIILI YA NDUGU ZAO. MIILI YATAPAKAA NJIANI. John de mkali


Taarifa za kutisha zimeibuka kutoka mjini Bama moja ya miji ambayo ilitekwa na wapiganaji wa kiisilamu wa Boko Haram Kaskazini Masharik

Jumamosi, 26 Julai 2014

john de mkali; Baada ya ndege 3 kuanguka ndani ya wiki, hii ni ya 4 iliyorudi ilikotoka sababu ya maneno ya huyu

Screen Shot 2014-07-26 at 6.24.08 AMTayari mpaka sasa abiria zaidi ya 300 wamepoteza maisha kwenye ajali tatu za ndege zilizotokea ndani ya wiki moja kuanzia wiki iliyopita  ambazo ni ndege ya Malaysia, nyingine huko Taiwan na nyingine iliyoanguka Mali.

john de mkali; Picha za mwanzo za ajali ya ndege ya Air Algerie.

Screen Shot 2014-07-26 at 4.23.21 AMKwa mujibu wa daily mail hizi ni picha za kwanza za mabaki ya ndege ya Air Algerie ambayo ilianguka mashariki mwa nchi ya Mali ikitokea Ouagadougou Burkina faso kuelekea Algiers Algeria.

john de mkali; Mwanamke wa Sudan aliehukumiwa kifo kwa kuolewa na Mkristo amewasili Italia.

Sudan 1
Huyu wa kwanza kushoto aliembeba mtoto ni Makamu wa waziri wa mambo ya nje ya Italy Lapo Pistelli
Kiongozi wa kanisa katoliki duniani Pope Francis Alhamisi ya July 24 2014 nchini Italia amekutana na Meriam mwanamke wa Sudan ambae alihukumiwa kunyongwa nchini Sudan kwa kosa la kuolewa na mume Mkristo mwaka 2011.

JOHN DE MKALI.Yule rubani wa miaka 17 alietangaza kupaa na ndege nchi 15 amepata ajali na kufariki.

Screen Shot 2014-07-24 at 9.14.14 PMIlikua taarifa kubwa sana pale mtoto rubani mwenye umri wa miaka 17 alipotangaza maamuzi ya kusafiri na ndege ndogo ya injini moja kwenye nchi mbalimbali duniani ikiwa ni ndani ya Mabara matano, vituo 25 ndani ya nchi 15 kwenye siku 30.

Jumamosi, 24 Mei 2014

john de mkali; Al Shabaab washambulia Bunge Somalia huku wabunge wakiwa ndani kwa mkutano….!!

Kundi la wapiganaji wa kiisilamu la Al Shabaab limeshambulia bunge la Somalia na kusababisha vifo vya watu kadhaa mjini Mogadishu.
 
al shabaab

john de mkali; BAADA YA UKIMYA WA MUDA SASA HAYA NDIO MAPYA KUHUSU NDEGE YA MALAYSIA ILIYOPOTEA.

Waziri Mkuu wa zamani wa Malaysia amesema Shirika Kuu la Kijasusi la Marekani CIA linaficha maelezo muhimu kuhusu hatima ya ndege ya Malaysia iliyotoweka. Katika taarifa aliyochapisha katika weblogu yake siku ya Jumapili, Mahathir Mohammad

john de mkali; kim atupia gauni la milion 33

Kim K. avaa Gauni yenye thamani ya USD 20,000 sawa na TZS. Milioni 33, kwenye bachelorette party kabla ya Harusi yake ambayo inatarajiwa kufanyika kesho.  Pia inasemekana Rachel Roy aliyesababisha ugomvi wa Jayz na shemeji yake Solange naye atakuwepo.

Ijumaa, 25 Aprili 2014

JOHN DE MKALI; BOMU LALIPUKA NA KUUA HUKO KENYA.


BOMU JINGINE LALIPUKA KENYA NA KUUWA

Matukio ya kigaidi yamekua yakichukua vichwa vya habari mara nyingi nchini Kenya hasa baada ya nchi hiyo kupeleka wanajeshi wake nchini Somalia kupambana na wanamgambo

Jumatano, 23 Aprili 2014

john de mkali; TATTOO YAMTIA MASHAKANI MTALII HUYU:


Tatoo ya Naomi Michelle Coleman inaonyesha picha ya Budhaa ambaye ni Mungu waumini wa dini ya Budhaa.

john de mkali; ebu mcheki nick minaj alivyo badilika


Nicki Minaj is beginning to tone down her usual outlandish/eccentric style.

john de mkali; SABABU ZA UGOMVI BAINA YA MAPACHA WA P-SQUARE ZAFAHAMIKA,

Taarifa juu ya ugomvi ulioibuka wiki iliyopita baina ya ndugu mapacha wa kundi la P-Square Peter na Paul na kaka zao zimewashtua mashabiki wao walioko pande mbalimbali za dunia. Chanzo kimoja cha karibu na ndugu hao kimeelezea sababu na kile kilichotokea.

JOHN DE MKALI; AL-SHAABAB WATOA TISHIO JINGINE LA KUILIPUA KENYA

Tishio la kigaidi lina kodolea macho taifa la Kenya baada ya kundi la kigaidi lililo na makao yake makuu nchini Somalia kuachia video nyingine kwenye mtandao wa Al-Kataib wakitishia kutekeleza mashambulizi nchini Kenya wakati wowote.
kwenye kanda hiyo msemaji wa alshabaab aliye jifunika
uso anasema

john de mkali; ndugu wanaokula nyama za maiti wakamatwa.

Watu wawili wanaotuhumiwa kula nyama za binadamu wamekamatwa baada ya kichwa cha mtoto wa miaka mitatu, kukutwa katika nyumba wanayoishi nchini Pakistan.

Polisi waligundua tukio hilo la kutisha na kuwakamata watuhumiwa Mohammad Arif Ali (35) na mdogo wake Mohammad Farman Ali mwenye miaka 30.

Jumanne, 22 Aprili 2014

JOHN DE MKALI; DRAKE AMNUNULIA RIHANNA PETE YENYE THAMANI YA SHILINGI MILION 68.

Drake na Rihanna wanaendelea kushibana na penzi lao linachanua huku wakiripotiwa kuwa na mpango wa kuishi pamoja.

Kwa mujibu wa gazeti la Daily Star, chanzo kimoja kimeeleza kuwa Drake amemnunulia Rihanna zawadi ya pete ya almasi yenye rangi ya njano yenye thamani ya $42,000 (sawa na 68,712,000/-).

johnde mkali; OMBI LA JUSTIN BIEBER KUFUKUZWA MAREKANI KWA KUWA ANA TABIA MBAYA LAFELI

Hatimaye ikulu ya Marekani imejibu ombi lililotolewa na raia wa Marekani kwa Rais Barack Obama kumfukuza Justin Bieber nchini humo, ombi lililopata sahihi takribani 275,000 ndani ya siku 30 na kuvuka kiwango cha sahihi 100,000 zilizotakiwa kumfanya rais alifikirie.

john de mkali:: MSEMAJI WA P-SQUARE AONGEA KUHUSU TETESI ZA KUVUNJIKA KWA KUNDI.

Wiki hii mitandao ya Nigeria iliripoti kuwa kulikuwa na ugomvi mkubwa kati ya mapacha wanaounda kundi la PSquare, Peter na Paul Okoye na kwamba walitaka kupigana wakati wakiwa mazoezini.

Habari hizo zilichochewa na tweet ya kaka yao mkubwa ambaye ni meneja wao, Jude Okoye iliyootafsiriwa na mitandao hiyo kuwa huenda

john de mkali;NAHODHA WA MELI ILIYOZAMA KOREA AKAMATWA.

Nahodha wa kivuko cha Korea Kusini kilichozama na kusababisha watu zaidi ya 300 kutojulikana walipo amekamatwa Jumamosi (19.04.2014) kwa tuhuma za uzembe na kuwatelekeza watu waliokuwa kwenye shida ya kuhitaji msaada. Wapelelezi