Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo tecnology. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo tecnology. Onyesha machapisho yote

Jumamosi, 26 Novemba 2016

Tecno wameungana na Jumia kukupa ofa ya BlackFriday, Changamka ujishindie Vocha za Chakula. john de mkali

Tecno wanakuletea ofa  ya #BlackFriday kwa kushirikiana na Jumia ili kuhakikisha unafurahia kuwa mteja wa bidhaa za kampuni hizi mbili kwa muda mrefu. Wateja watafaidika kwa njia mbalimbali kupitia ushirikiano huu kuanzia kwenye huduma mpaka zawadi mbalimbali zitakazotolewa.

Alhamisi, 17 Novemba 2016

WhatsApp Video Call Tayari; La Kufanya Kuiwezesha Simu Yako. john de mkali

Hivi sasa mnamo tarehe ya jana 15/11/2016 simu nyingi zilipata updates mpya inayokuwezesha kupiga simu ya video kupitia WhatsApp.
whatsapp-video-calls
Mmiliki wa mtandao huo Bw. Mark Zucherberg kupitia ukurasa wake wa facebook aliandika kuwa “…sasa tunawaletea video call kupitia whatsapp, ikiwa simu ya sauti ya kawaida ilikuwa kwa haraka zaidi na ombi