Cristiano Ronaldo
alifunga bao lakini baadaye akafukuzwa uwanjani huku Real Madrid
wakilaza Barcelona 3-1 katika Super Cup ya Uhispania, mechi ya mkondo wa
kwanza.
Gerard Pique alijifunga kutoka kwa krosi ya Marcelo kabla ya Lionel Messi kusawazisha kupitia mkwaju wa penalti.BLOG HII NI KWA MATUKIO NA HABARI ZA NDANI NA NJE YA NCHI,SKENDO, MAHUSIANO, VITUKO, AFYA NK kama una habari piga 0742370795
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo michezo. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo michezo. Onyesha machapisho yote
Jumatatu, 14 Agosti 2017
Cristiano Ronaldo apewa kadi nyekundu mechi ya El Clasico-john_de_mkali
Jumamosi, 26 Julai 2014
Ijumaa, 25 Aprili 2014
john de mkali; MISS DAR CITY CENTER WAMEANZA MAZOEZI KWA NGUVU ZOTE.
Jumatano, 23 Aprili 2014
john de mkali; HISA ZA MAN U ZAPANDA DAU
Wakati kocha Sir Alex Ferguson
alipostaafu kama meneja wa Manchester United mwezi wa tano mwaka jana,
hisa za klabu hiyo kwenye soko la hisa la New York thamani yake
JOHN DE MKALI; HUYU NDIE COCHA MPYA WA MAN U

JOHN DE MKALI; MANCHESTER UNITED YAMTIMUA NA KUMRUSHIA VIRAGO DAVID MOYES
Kocha David Moyes ameondolewa rasmi kwenye majukumu yake ya ukocha katika klabu ya Manchester United. Taarifa rasmi ya klabu hiyo imetolewa kupitia mtandao wa Twitter unaweza kuicheki hapo chini……
JOHN DE MKALI; DAVID MOYES KUACHISHWA KAZI MUDA WOWOTE KUANZIA LEO

Jumanne, 22 Aprili 2014
JOHN DE MKALI; TAULO LA IVO MAPUNDA LAZUA KIZAAZAA.
Katika mchezo wa Simba na Yanga Leo
Ambao wametoka droo kwa kufungana moja kwa moja palitokea kituko ambacho
kimewaacha wengi huo...Kama Kawaida yake Ivo Mapunda akiwa langoni Huwa
anakuwa na Taulo kubwa Jeupe la kujifutia Jasho Ambalo hulininginiza
Kwenye Nyavu za Goli
Ijumaa, 21 Machi 2014
john de mkali. man u lazima imfukuze DAVD MOYES
Manchester United lazima imtimue David Moyes mwishoni mwa msimu huu. David Moyes hana uwezo wa kuiongoza Manchester United kuendeleza mazuri ya aliyemrithi na kuipeleka timu kwenye kilele cha mafanikio,
john de mkali. YANGA YAPATA AJALI
Kikosi cha Yanga SC kimepata ajali baada ya basi lao kutumbukia mtaroni katika eneo la Mikese mkoani Morogoro.
Jumatano, 5 Machi 2014
Jumamosi, 1 Machi 2014
john de mkali; YANGA YAUDUWAZA ULIMWENGU, YAWAKUNG'UTA WAARABU
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)





