Tecno wanakuletea ofa ya #BlackFriday kwa
kushirikiana na Jumia ili kuhakikisha unafurahia kuwa mteja wa bidhaa
za kampuni hizi mbili kwa muda mrefu. Wateja watafaidika kwa njia
mbalimbali kupitia ushirikiano huu kuanzia kwenye huduma mpaka zawadi
mbalimbali zitakazotolewa.