Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Utafiti. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Utafiti. Onyesha machapisho yote

Jumatatu, 14 Agosti 2017

Mambo manane kuhusu kutumia mkono wa kushoto- john de mkali

Haki miliki ya picha PSCU
Image caption Rais Kenyatta na Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu. Wote wawili hutumia mkono wa kushoto
Watu wengi duniani hutumia mkono wa kulia kwa shughuli nyingi na si ajabu kwamba vitu vingi huundwa kwa kuwafikiria wanaotumia mkono wa kulia.

Jumanne, 30 Desemba 2014

BILIONEA MWANAMKE MWEUSI TAJIRI ZAIDI DUNIANI AMPIKU OPRAH WINIFREY .....john de mkali

Bilionea wa Nigeria, Folorunsho Alakija amempiku Oprah Winfrey kama mwanamke mweusi tajiri zaidi duniani kwa kuwa na utajiri wa dola bilioni 7.3 kwa mujibu wa orodha iliyotolewa na jarida la Ventures Africa. Bilionea wa

Jumamosi, 26 Julai 2014

john de mkali; Hii ikufikie unaetumia muda mwingi wa siku kuketi nyumbani, kwenye gari au pengine

Screen Shot 2014-04-11 at 1.35.39 AMUlikua unafahamu kwamba kuketi kwa muda mrefu ni hatari kwa afya yako? unaambiwa binadamu wa kawaida kwa sasa anakaa kwa muda wa saa nane mpaka saa tisa kila siku akiwa kazini, kwenye gari au nyumbani.

Jumatano, 9 Julai 2014

john de mkali; Ngono kinyume na maumbile

Mtafiti Mwanasayansi Irine Mremi, kutoka Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binaadamu nchini Tanzania (NIMR) ambaye aliwasilisha ripoti hiyo kwa niaba ya watafiti wenzake wa NIMR. *** BAADHI ya wanawake kutoka katika Wilaya zaKinondoni, Tanga, Makete na Siha, wamekiri kufanya ngono kinyume na maumbile.