BLOG HII NI KWA MATUKIO NA HABARI ZA NDANI NA NJE YA NCHI,SKENDO, MAHUSIANO, VITUKO, AFYA NK kama una habari piga 0742370795
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo habari za siasa. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo habari za siasa. Onyesha machapisho yote
Jumamosi, 12 Agosti 2017
Alhamisi, 17 Novemba 2016
Jumapili, 7 Septemba 2014
Ijumaa, 25 Aprili 2014
john de mkali; MBUNGE WA BUNGE MAALUM DODOMA AANGUKA NA KUKIMBIZWA HOSPITALINI KWA PRESHA.

Wauguzi
na Waganga wa Zahanati ya Bunge mjini Dodoma wakitoa msaada wa huduma
ya kwanza na kufanya maandalizi ya kumpeleka Mjumbe wa Bunge
Alhamisi, 24 Aprili 2014
JOHN DE MKALI; SITTA MATUSI HAYAWEZI KUTUPA KATIBA BORA..LEO HII KILA ANAYESIMAMA ANATUKANA
Tumekuwa waoga sana hata tunaogopa
kujadiliana ukweli, kila mtu anaogopa. Hii inaletwa na tatizo kubwa la
uchumi, uhakika wa ajira, kazi na biashara za kujuana, elimu mbovu
isiyoandaa watoto wetu kujitegemea.
john de mkali; MAIGE "KUWA NA SEREKALI TATU TANZANIA ITAINGIA KATIKA MAAJABU YA DUNIA"
Mjumbe wa Bunge la Katiba, Almas Maige
amesema endapo wajumbe wa Bunge hilo watapitisha muundo wa Serikali
tatu, nchi itaingia katika kitabu cha maajabu ya dunia cha Guiness Book
of Records.
Jumatano, 23 Aprili 2014
john de mkali; SITTA AIFUATA UKAWA ZANZIBAR KUNUSURU BUNGE

john de mkali; MANENO YA LUKUVI YATIMIA CHADEMA NAYO IMEINGIA KATIKA MTEGO

Jumamosi, 16 Novemba 2013
Makamu wa rais Dr. Bilal awaongoza wananchi kuuaga mwili wa Dr Sengondo Mvungi jijini Dar es salaam leo.
Jeneza lenye mwili wa Dkt Sengondo Mvungi likiwasili katika viwanja vya karimjee jijini dar es salaam leo kw ajiri ya kuagwa.
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)




.jpg)