Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo mastaaTZ. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo mastaaTZ. Onyesha machapisho yote

Alhamisi, 19 Februari 2015

Picha ya Wema Sepetu Aliyojibinua Tako Yaleta Vijimaneno, Wengi Wamtaka Aache Maisha ya Maigizo ..Soma Hapa john de mkali


Udaku Special Kutoka Insta: Leo nimepitia ukurasa wa Malkia wa Insta nikakutana na Picha hiyo ya Wema Akiwa ameegemea gari aliyopewa kama zawadi na Martin Kadinda siku ya Birthday yake huku akiwa amekibinua cha chini ya mgogo ..Baadhi ya watu wamemsifia na wengine kujaribu kumshauri ..Soma Comments hapo chini kutoka ukurasa huo :

Jumapili, 28 Desemba 2014

PROJECT ZA DIAMOND PLATINUMZ AMBAZO ZIMEISHIA KITANDANI .... john de mkali

Kwa uchace angalia baadhi ya Wanawake ambao awali mkali wa Bongo Flava, Nassib Abdul alikataa kuwa

DIAMOND PLATINUMZ, AKAMILISHA TAKEU KWA KUWA NA MADEMU EAST AFRICA ... john de mkali


Stori: Bernadetha Merdad
Mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond’ amekamilisha ‘TAKEU’ kwa mademu baada ya kufanikiwa kutembea na mademu wanaosifika kwa uzuri kutoka Tanzania, Kenya na Uganda.

DIVA AFANYA BALAA INSTAGRAM .... john de mkali


Yawezekana amesahau yeye ni kioo cha jamii, manake mara baada ya kuipost picha hii Instagram, mashabiki wake walimkosoa kwa kila namna, Lovenesss Love, Diva Kulikoni kutufanyia hivi kila leo?

Jumapili, 7 Desemba 2014

USIKU WA WAFALME DAR LIVE DIAMOND: NILISHAGANDISHWA NIGERIA SAA 8...john de mkali

DAR ES SALAAM,  Tanzania
BAADA ya kuchukua tuzo tatu kwa mpigo za Channel O zijulikanazo kama Channel O Africa Music Video Awards (Choamva), staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, amefunguka ya moyoni na kusema kuwa alipokuwa nchini Nigeria alishawahi kugandishwa kwa saa 8 kisa kufanya kolabo.

Jumamosi, 26 Julai 2014

john de mkali; Post za Instagram: walichopost Ali Kiba, Jokate, Diamond, Nay wa Mitego, Master J na wengine

Screen Shot 2014-07-26 at 4.03.18 AMInstagram ni mtandao mwingine wa kijamii unaozidi kupata Wanachama wapya kila siku kutokana na aina yake ya kupost pichaz ambapo umekua ukitumiwa sana hata na watu maarufu na kurahisisha kazi ya kusambaza habari kama unavyoona baadhi ya mastaa kwenye hii post.

Jumamosi, 31 Mei 2014

JOHN DE MKALI; HIVI NDIVYO MSANII RECHO NA MWANAE WATAKAPO ZIKWA.

RECHO: Hapa ndipo atakapo anza siku yake ya kwanza leo kwenye makazi yake mapya mbinguni. Shimo dogo ni kaburi la mtoto wake aliyefariki muda mfupi

Jumamosi, 24 Mei 2014

john de mkali; “Tunapendana sana na Hunter,hatuwezi kuachana kwa mipango ya binadamu” SNURA

Mamaa Majanga, Snura Mushi akijiachia kijanja na mpenzi wake DJ Hunter.
Mamaa Majanga, Snura Mushi akijiachia na mpenzi wake DJ Hunter.
MAMAA Majanga, Snura Mushi amekiri kutoka katika uvungu wa moyo wake kuwa amedhibitiwa vilivyo na penzi la jamaa anayetoka naye kwa sasa aitwaye DJ Hunter hivyo hawezi kuachika.

john de mkali; “Nimebanwa na kazi,ndio maana nimeshindwa kuja kwenye msiba wa Kuambiana…” LULU

 Elizabeth Michael ‘Lulu’.
STAA wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amedaiwa kuukacha msiba wa aliyekuwa nguli wa filamu za Kibongo, Adam Philip Kuambiana na kujitetea kuwa alibanwa na majukumu.

john de mkali; Gabo apata ajali mbaya ya gari….!!

MWIGIZAJI wa Bongo Movies, Salim Ahmed ‘Gabo’ amepata ajali mbaya ya gari maeneo ya Kiwalani jijini Dar.Kwa mujibu wa chanzo makini, Gabo aliyekuwa katika gari binafsi, aligongana na gari lingine na kupata jeraha mguuni hivyo kulazimika kulazwa kwa takriban wiki tatu kisha kuruhisiwa mwishoni mwa wiki iliyopita.
gaboMwigizaji wa Bongo Movies, Salim Ahmed ‘Gabo’
Akizungumza na paparazi wetu baada ya kutoka hospitali, Gabo aliyeitendea haki Sinema ya Majanga ya Mahsein Awadh ‘Dk Cheni’, alieleza mazingira ya ajali.

john de mkali; SOMA HAPA ILI KUJUA HISTORIA NZIMA YA MAISHA YA WEMA SEPETU


Taja wasichana wote wa Bongo Movies wanaotamba Tanzania, usipoliweka jina la Wema Sepetu orodha haijakamilika. Wema Sepetu ni supastaa asiyefutika kwenye vichwa vya habari vya magazeti ya udaku na websites/blogs. Mfahamu zaidi kwa undani

john de mkali; KIVAZI CHA LEO, STAR GANI WA BONGO ALISHAWAHI VAA KAMA HUYU?

Ijumaa, 25 Aprili 2014

Alhamisi, 24 Aprili 2014

john de mkali; linex chupuchupu kutwangwa risasi.


Hii imetokea Mwanza ambayo inamhusu Linex kukoswa kupigwa risasi na mtu asiyemfahamu hii imetokea Mwanza baada ya kuwa ametoka hotelini

JOHN DE MKALI; KADINDA AMKUMBUKA JACK.

MWANAMITINDO maarufu Bongo, Martin Kadinda ameonesha hisia zake hadharani baada ya kutupia picha ya rafiki yake kipenzi, modo Jack Patrick mtandaoni na kuonesha kuwa amemkumbuka.

Jumatano, 23 Aprili 2014

john de mkali; MASTAA WA KIKE WALIODATE NA ALIKIBA

Ali kiba  ni mmoja wa wanamuziki walio kimya sana kwenye upande wa kuongelea mambo yake binafsi, haswa kimahusiano, au hata kujitangaza kumiliki kitu kingine chochote cha thamani kama

john de mkali; DIAMOND "WATU WAWILI WAKIPENDANA LAZIMA KUWE NA MAHASIDI WA KUWAFITINISHA"

Diamond Kafunguka na Kusema Haya kwenye Ukurasa wake wa Instagram