Jumatatu, 14 Agosti 2017

Mambo manane kuhusu kutumia mkono wa kushoto- john de mkali

Haki miliki ya picha PSCU
Image caption Rais Kenyatta na Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu. Wote wawili hutumia mkono wa kushoto
Watu wengi duniani hutumia mkono wa kulia kwa shughuli nyingi na si ajabu kwamba vitu vingi huundwa kwa kuwafikiria wanaotumia mkono wa kulia.

Jumamosi, 12 Agosti 2017

Breaking News: RC Makonda Agoma Kuomba Msamaha Waandishi wa Habari--- john_de_mkali




Breaking News: RC Makonda Agoma Kuomba Msamaha Waandishi wa Habari
Katika mkutano uliondaliwa na jukwaa la wahariri Tanzania Jijini Dar es salaam kati ya wahariri na Wandishi wa habari, Mkuu wa Mkoa Paul Makonda ametanka hadharani kuwa hatoomba msamaha na wala haitakuja kutokea.

Jumamosi, 26 Novemba 2016

Kutana na mwanamke mnene kuliko wote duniani… Ana uzito wa kilo 500. john de mkali

Kazi yangu ni kuhakikisha kila siku nakuletea habari mpya na uhakika popote ulipo mtu wangu na nimekula kiapo kwako kulitekeleza hilo na leo nimeipata hii kutoka nchini Misri kuhusu Mwanamke mnene kuliko wote duniani ambaye anatajwa kufikisha uzito wa kilo 500.

Tecno wameungana na Jumia kukupa ofa ya BlackFriday, Changamka ujishindie Vocha za Chakula. john de mkali

Tecno wanakuletea ofa  ya #BlackFriday kwa kushirikiana na Jumia ili kuhakikisha unafurahia kuwa mteja wa bidhaa za kampuni hizi mbili kwa muda mrefu. Wateja watafaidika kwa njia mbalimbali kupitia ushirikiano huu kuanzia kwenye huduma mpaka zawadi mbalimbali zitakazotolewa.

Alhamisi, 17 Novemba 2016

Wanahabari Watimuliwa kwa Bunduki Kesi ya Lema, Mahakama Yalionya Jeshi la Polisi. john de mkali

lemaArusha: Wakati askari polisi saba watatoa ushahidi mahakamani katika kesi ya uchochezi inayomkabili Mbunge wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema, Mahakama imetoa onyo kwa askari Polisi na Magereza wanaowasumbua waandishi wa habari na wananchi.