Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo habari. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo habari. Onyesha machapisho yote

Jumanne, 30 Desemba 2014

AJALI YA LORI NYORORO IRINGA, LAFUNGA BARABARA KWA SAA KADHAA .... john de mkali

Sehemu ya msururu wa magari yaliyokwama baada ya ajali hiyo kuziba barabara ya Iringa-Njombe

BILIONEA MWANAMKE MWEUSI TAJIRI ZAIDI DUNIANI AMPIKU OPRAH WINIFREY .....john de mkali

Bilionea wa Nigeria, Folorunsho Alakija amempiku Oprah Winfrey kama mwanamke mweusi tajiri zaidi duniani kwa kuwa na utajiri wa dola bilioni 7.3 kwa mujibu wa orodha iliyotolewa na jarida la Ventures Africa. Bilionea wa

Jumamosi, 31 Mei 2014

JOHN DE MKALI; GEORGE TYSON (MUME WA MONNALISA) WA BONGO MOVIE AFARIKI DUNIA


George Tyson enzi za uhai wake.

john de mkali; MWANAFUNZI WA MLIMANI (UDSM) AFARIKI DUNIA GHAFLA ,TAZAMA PICHA HAPA




Habari zilizotufikia hivi punde zinasema kuwa mwanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es salaam  aliyejulikana kwa jina la Sakabenga (pichani enzi za uhai wake

JOHN DE MKALI; Utata Mtupu!! UCHAWI WAHUSISHWA KIFO CHA MSANII WA BONGO MOVIE RACHEL HAULE NA MTOTO WAKE,JENEZA HALIKUINGIA NDANI

Mume wa marehemu Saguda akilia kwa uchungu kwenye jeneza la Rachel  Haule ‘Recho’ au Sheila.
 

VILIO! Vilio! Vilio! Wakati aliyekuwa mwigizaji wa sinema za Bongo, Rachel  Haule ‘Recho’ au Sheila na mtoto wake wakizikwa jana kwenye Makaburi

JOHN DE MKALI; TAZAMA PICHA ZA MATUKIO YA MSIBA WA RACHEAL HAULE.

 Picha ya Marehemu Sheila Leo Haule (Rachel) ikiwa pembeni ya Jeneza lake mchana wa leo wakati wa kuagwa kwa mwili wake,kwenye viwanja vya Leaders Club,Jijini Dar es Salaam.

JOHN DE MKALI; HIVI NDIVYO MSANII RECHO NA MWANAE WATAKAPO ZIKWA.

RECHO: Hapa ndipo atakapo anza siku yake ya kwanza leo kwenye makazi yake mapya mbinguni. Shimo dogo ni kaburi la mtoto wake aliyefariki muda mfupi

Jumamosi, 24 Mei 2014

john de mkali; Mwili wa Amina Ngaluma wawasili nchini jana usiku….

Amina Ngaluma 'Japanese' enzi za uhai wake.
Amina Ngaluma ‘Japanese’ enzi za uhai wake.
MWILI wa mwimbaji mahiri nchini aliyefariki dunia wiki iliyopita nchini Thailand, Amina Ngaluma ‘Japanese’ umewasili jijini Dar es Salaam jana usiku huu.
Nyota huyo wa zamani wa bendi mbalimbali nchini ikiwamo Double M Sound, African Revolution ‘Wana Tamtam’, mpaka mauti yanamfika alikuwa mwanamuziki wa bendi ya Jambo Survivors.
Kwa mujibu wa mume wa marehemu, Rashid Sumuni, msiba upo kwa wazazi wa marehemu Kitunda, Machimbo, Dar es Salaam ambako ndiko maziko yatafanyika hapo kesho mchana.
MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU AMINA MAHALI PEMA PEPONI. AMEN!

Ijumaa, 25 Aprili 2014

JOHN DE MKALI; BOMU LALIPUKA NA KUUA HUKO KENYA.


BOMU JINGINE LALIPUKA KENYA NA KUUWA

Matukio ya kigaidi yamekua yakichukua vichwa vya habari mara nyingi nchini Kenya hasa baada ya nchi hiyo kupeleka wanajeshi wake nchini Somalia kupambana na wanamgambo

Jumatano, 23 Aprili 2014

john de mkali; kibaka apewa za mbavu na raia


Kijana Mmoja aliyetuhumiwa kuwa Kibaka Akiwa amekaa kwa Huruma mara baada ya Kushushiwa Kipigo na wanaodhaniwa wanafunzi wa Chuo Kikuu Mzumbe cha Mjini Morogoro.

Jumanne, 22 Aprili 2014

john de mkali;SABABU YA MAREHEMU GURUMO KUPOTEZA JICHO LAKE MOJA HII HAPA

Marehemu Gurumo kwa maisha yake yote alikuwa na ulemavu wa jicho moja lakini hakuna mwanamuziki wala mdau  au mwanahabari aliyekuwa anajua sababu ya madhila hayo ya mzee wetu mpendwa.

Ijumaa, 21 Machi 2014

JOHN DE MKALI. SHEIKH PONDA AZIDI KUSOTA

JITIHADA za Sheikh Ponda Issa Ponda, kutaka Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam ifanyie marejeo uamuzi uliotolewa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Morogoro Oktoba mosi mwaka jana, zimegonga mwamba baada ya mahakama hiyo kulitupa ombi hilo.

john de mkali. BABU SEYA,PAPII FURAHA WAKILI ANASA USHAHIDI WA KUWAOKOA

Na Elvan Stambuli na Haruni Sanchawa

MWANAMUZIKI mkongwe nchini, Nguza Viking ‘Babu Seya’ anayetumikia kifungo cha maisha jela na mwanaye Johnson Nguza

john de mkali. watanzania wanne wakamatwa na madawa ya kulevya kenya

Watanzania wanne (mwanaume mmoja na wanawake watatu) wamekamatwa na kilo 2.2 za heroin kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta

john de mkali. madhara ya shisha na ulevi wake yajulikana

Umeibuka ulevi mpya nchini ambao umethibitika kuwateka vijana hasa wa jiji la Dar es Salaam, huku kukiwa na taarifa za kitaalamu kwamba ulevi huo una athari za kiafya kwa watumiaji.

Jumamosi, 1 Machi 2014

John de mkali; BASI LA BUNDA EXPRESS LAGONGANA NA TRENI.

Basi la Bunda Express lagongana na Treni Manyoni mkoani Singida.....Mmoja afariki dunia, 38 wajeruhiwa vibaya
2/28/2014 habari za kitaifa