Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo habar za tz. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo habar za tz. Onyesha machapisho yote

Jumapili, 7 Septemba 2014

Jumamosi, 31 Mei 2014

john de mkali; RACHEL BONGO MUVI AFARIKI DUNIA.

Msanii wa Bongo Movie, Rachel Haule 'Recho' (pichani), amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es slaaam.

Jumamosi, 24 Mei 2014

john de mkali; Picha: Safari ya Mwisho ya mpendwa wetu Amina Ngaluma ‘Japanese’

1
Mwili wa marehemu Amina Ngaluma ukishushwa tayari kuingia kaburini kwa maziko, Machimbo Mnarani.

john de mkali; Harusi ya mbunge maarufu Viky Kamata yahairishwa,augua ghafla na kulazwa hospitali….!!

Mbunge Vicky Kamata akiwa amelazwa Hospitali ya Tabata General, Dar es Salaam jana
Bunge mjini Dodoma na maeneo mengine nchini, kutokana na kile kilichoelezwa kwamba harusi hiyo ilipangwa kuwa ya kifahari ikitarajiwa kutumia Sh96 milioni.

john de mkali. Aibu! Kamanda, Askari wake wanaswaa LAIVU wakizini..!!

Kamanda akiwa katika hali ya sintofahamu baada ya kunaswa akiwa na askari wake ambaye ni mke wa mtu.

john de mkali; DODOMA:BAADA YA MH SHABIBY KUTAKA KUTAPELIWA NA MWANDISHI WA HABARI TAPELI MWINGINE AKAMATWA BUNGENI LEO

ta3Tapeli Sugu aliyejulikana kwa Jina la Ally Mwinyi Kutoka Vikindu-Pwani aliyekamatwa Parking za Madereva wa Wabunge-Dodoma akiwa chini ya Ulinzi tayari kwa Kupelekw

john de mkali; hatari DENGUE yatua mwanza


UGONJWA wa homa ya dengue yaani “dengue fever” umeingia jijini Mwanza ambapo mgonjwa wa kwanza ameripotiwa kulazwa hospitali ya mkoa, Sekou Toure. Mganga Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Valentino Bangi amehibitisha kuingia ugojwa huo ndani ya mkoa wake.

Ijumaa, 25 Aprili 2014

john de mkali; MBUNGE WA BUNGE MAALUM DODOMA AANGUKA NA KUKIMBIZWA HOSPITALINI KWA PRESHA.

 Wauguzi na Waganga wa Zahanati ya Bunge mjini Dodoma wakitoa msaada wa huduma ya kwanza na kufanya maandalizi ya kumpeleka Mjumbe wa Bunge

john de mkali; MISS DAR CITY CENTER WAMEANZA MAZOEZI KWA NGUVU ZOTE.

 Kile kitongoji cheje nguvu kubwa katika shindano la miss tanzania miss  dar city center... kimeanza mazoezi jana katika ukumbi wa New Maisha Club Dar es

Alhamisi, 24 Aprili 2014

JOHN DE MKALI; MWILI WA MWANAFUNZI ANASTAZIA LACKFORD ANAYEDAIWA KUUNGUZWA NA KUPEWA SUMU NA BABA YAKE ULIVYOAGWA SHULENI KWAO MWANZA SEKONDARI

Marehemu Anastazia Lackford Magafu enzi za uhai.

john de mkali; huruma jamani!! Tazama unyanyasaji wa watoto


Mtoto Samir mkazi wa mtaa wa Langoni kata ya Miembeni,akiwa amefungwa kamba katika mguu wake wa kushoto huku upande mwingine ukiwa umefungwa katika chuma kizito kilichopo jirani na mlango.

john de mkali;; TAZAMA AJALI MBAYA ILIYOTOKEA IRINGA,



Taxi ambayo nayo ilisababishiwa ajari ikiwa katika eneo la tukio, huku askari polisi wakilinda usalama wa mali za abiria na baadhi ya vitu katika eneo la tuk io.(P.T).

Jumatano, 23 Aprili 2014

john de mkali; picha za ajali ya basi la yuhule lililoua watu10 mwanza



Basi la abiria la Luhuye Express lenye namba za usajili T 410 AWQ baada ya kuacha njia na kugonga nyumba katika Kijiji cha Yitwimila 'A', wilayani Busega, Mkoa wa Simiyu jana asubuhi.

john de mkali; HII KALI..KUMBE ULE UPORAJI WA BARCLAYS BANK KINONDONI HAUKUWA WA KWEL

Dar es Salaam. Last week’s “robbery” at Barclays Bank’s Kinondoni branch, where armed gangsters reportedly grabbed Sh300 million, was faked, The Citizen can authoritatively report.


Impeccable sources close to the ongoing investigation into the incident confided in The Citizen that the “raid” by three men was planned and executed to cover up the theft of tens of millions of shillings that had previously taken place at the branch.

john de mkali; ZITTO KABWE NAE PIA ANASHIRIKI KATIKA HARAKATI ZA UKAWA?

Wadau hivi Zitto Kabwe  pamoja na kuonekana ni mamluki na ukizingatia mmgogoro

Ijumaa, 21 Machi 2014

JOHN DE MKALI. IKULU YAMTAKA ASKOFU KAKOBE AACHE POROJO NA MANENO

Kurugenzi ya mawasiliano Ikulu imesema haina muda wa kujibu porojo zilizotolewa na Askofu wa kanisa la Full Gospel Fellowship, Zachary Kakobe kwani ina kazi kubwa ya kuwatumikia watanzania.

JOHN DE MKALI. SHETANI NDANI YA TUSKER PROJECT FAME

Kipindi cha Tusker Project Fame ambacho ni kipindi kinachopigiwa mfano kama American Idols ni kipindi kinachokuza talanta za wasanii wapya na kimefanikiwa kuchezwa kwa misimu mitano kwa mafanikio.

JOHN DE MKALI. VIJANA WAKICHINJA MBWA KWA AJIRI YA KUMUUZA MISHIKAKI

Jamani Wadau Embu kuweni makini na Mishikaki ya Huko barabarani hasa vituo