
Kazi yangu ni kuhakikisha kila
siku nakuletea habari mpya na uhakika popote ulipo mtu wangu na nimekula
kiapo kwako kulitekeleza hilo na leo nimeipata hii kutoka nchini Misri
kuhusu Mwanamke mnene kuliko wote duniani ambaye anatajwa kufikisha
uzito wa kilo 500.