Bilionea wa Nigeria, Folorunsho Alakija amempiku Oprah Winfrey kama
mwanamke mweusi tajiri zaidi duniani kwa kuwa na utajiri wa dola bilioni
7.3 kwa mujibu wa orodha iliyotolewa na jarida la Ventures
Africa. Bilionea wa
Stori: Bernadetha Merdad
Mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond’ amekamilisha ‘TAKEU’ kwa mademu
baada ya kufanikiwa kutembea na mademu wanaosifika kwa uzuri kutoka
Tanzania, Kenya na Uganda.
Yawezekana amesahau yeye ni kioo cha jamii, manake mara baada ya kuipost
picha hii Instagram, mashabiki wake walimkosoa kwa kila namna,
Lovenesss Love, Diva Kulikoni kutufanyia hivi kila leo?
Nay wa mitego hii sasa ni zidi ya Akadumba.Msanii Nay wa mitego amekuwa
akiposti picha akiwa na Hot bebez tofauti tofauti na kuandika baadhi ya
vipande vya wimbo wake mpya wa akadumba.
Watu
wengi wako kwenye uhusiano wa kimapenzi bila kujua kama kweli wanapenda
kwa dhati au wanajilazisha? Ili kutambua upendo wako jipime kwa maswali
yafuatayo:
DAR ES SALAAM, Tanzania BAADA
ya kuchukua tuzo tatu kwa mpigo za Channel O zijulikanazo kama Channel O
Africa Music Video Awards (Choamva), staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul
‘Diamond’, amefunguka ya moyoni na kusema kuwa alipokuwa nchini Nigeria
alishawahi kugandishwa kwa saa 8 kisa kufanya kolabo.