BLOG HII NI KWA MATUKIO NA HABARI ZA NDANI NA NJE YA NCHI,SKENDO, MAHUSIANO, VITUKO, AFYA NK kama una habari piga 0742370795
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo skendo. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo skendo. Onyesha machapisho yote
Jumapili, 28 Desemba 2014
Jumatano, 10 Septemba 2014
Jumapili, 7 Septemba 2014
Jumamosi, 31 Mei 2014
John de mkali; Haya sasa!!! MKUU WA WILAYA APIGA MARUFUKU VIJANA KUVAA NGUO CHINI YA MAKALIO ( KATA K)
MKUU wa Wilaya ya Sumbawanga mkoani Rukwa, Mathew Sedoyeka amepiga marufuku kwa kijana yeyote wa kiume mahali popote wilayani humo kuvaa
Jumamosi, 24 Mei 2014
john de mkali; Shoga Maarufu Jijini DAR ‘Anti Suzy’ Anusurika Kufa baada ya Kupewa Kichapo Kikali.
BAADA ya shoga maarufu jijini Dar es Salaam, Ibrahimu Mohamed ‘Anti Suzy’ (25), kutoboa siri kwenye vyombo vya habari jinsi watoto wa kiume wanavyoharibiwa na wanaume na kueleza namna alivyobwagiwa mtoto wa mwaka amtunze, mwanamume aliyembwagia mtoto ameibuka na kumjeruhi kwa visu akitaka kumuua.Mwanamume huyo mwenye mke, awali alikuwa akiishi na Anti Suzy kama mume na mke eneo la Jangwani, baada ya kumkimbia mkewe na alikorofishana na shoga huyo baada ya kumfanyia fujo na kumuibia.
Akizungumza na gazeti la Habari Leo jana nyumbani kwake, ‘Anti Suzy’ aliyejitangaza kuwa ni muathirika wa Virusi Vya Ukimwi kwa zaidi ya miaka 10 sasa, alisema mwanamume huyo alikuwa akimsumbua warudiane, lakini yeye alikataa na kumtaka aishi na mkewe na kutunza watoto badala ya kumng’ang’ania.
“Nilimwambia simtaki, vituko alivyonifanyia ukiacha kuniletea mtoto wa mwaka na nusu wa kike nimlee hapa nyumbani, alikuwa akinipiga, kunitukana na aliniibia vitu vyangu vyote. Kwanza nilishamwambia nimeathirika na Ukimwi ananifuata nini?” Alihoji shoga huyo.
“Jana (juzi) alinipigia simu akinitaka turidiane nikamwambia asinifuate kwanza nimeshaenda kwenye vyombo vya habari.”
Alisema alimwambia hivyo ili asimfuate, lakini baada ya kumweleza hayo, alimvamia nyumbani juzi kati ya saa nne na tano asubuhi akiwa na panga na visu akimtishia kumuua kama hawatarudiana na kama ataendelea kwenda kwenye vyombo vya habari kumuanika mambo yake.
“Nilikimbilia ndani na yeye akanifuata humo, akarusha panga anikate shingoni huku akisema ataniua, nikakwepa, lakini likanijeruhi shingo, kama haitoshi akachukua kisu alichokuwa nacho akanikata vidole.
“Damu ikaanza kutoka nyingi, alivyoona hivyo akanikaba kooni ili aninyonge, majirani waliposikia nakoroma, wakavunja mlango na kuniokoa,” alidai Anti Suzy.
john de mkali; Ndoa ya mil. 96 ya Vicky kamata hatihati kufungwa….
ILE ndoa inayodaiwa ikifungwa harusi yake itatafuna shilingi milioni 96 kati ya Mbunge wa Viti Maalum Geita kwa tiketi ya CCM, Vicky Paschal Kamata na mwanaume aliyejulikana kwa jina la Charles iko katika hatihati ya kufungwa kutokana na kuibuka kwa mizengwe.
Habari za ndani zinadai kuwa mizengwe iliyoibuka katika hatua za mwisho zimemfanya mwanaume huyo kuamua kubatilisha ndoa ambayo ilikuwa ifungwe Mei 24, mwaka huu jijini Dar es Salaam.
john de mkali; Hizi Ndizo Picha za nusu Uchi za IRENE UWOYA zinazosambaa kwa kasi Mtandaoni..!
Picha zinazodaiwa kuwa ni mpya za star wa filamu nchini Irene Uwoya akiwa bafuni na taulo na picha nyingine akiwa ameondoa taulo kifuani na kujiziba kwa mikono zimeanza kusambaa mitandaoni kwa kasi.
Uwoya alikuwa kimya kidogo huku habari zake zikiendelea kutawala mitandaoni na magazetini kama kawaida lakini kwa picha hizi inaonekana ametoa ishara kuwa yupo kama kawa…
john de mkali; LAANA! Rehema Fabian atupia tena picha za nusu utupu INSTAGRAM
Picha hiyo ilimuonesha akiwa amejiziba usoni na kuacha wazi sehemu kubwa ya mwili wake ambapo baadhi ya wafuasi wa mtandao huo walimkalisha kwa kumpa za chembe.
“Huwezi kuwa mtu unayejiheshimu katika jamii halafu ukatupia picha
john de mkali; AIBU NZITO! MBOMGO FLEVA ANASWA NA DENTI WA SEKONDARI UFUKWENI..!!
Msanii chipukizi wa Bongo Fleva, Venas John Bebu ‘Bebuz’ afumwa akivunja amri ya sita ufukweni
Tukio hilo la aibu lilijiri wiki iliyopita mishale ya saa 8:00 usiku kwenye Ufukwe wa Coco, Dar ambapo polisi jamii walimnasa jamaa huyo aliyedaiwa ni swahiba mkubwa wa mwanamuziki, Abdul Sykes ‘Dully Sykes’ ambao hivi
john de mkali; Aibu! Njemba anaswa na Denti wa kiume GESTI
Njemba aliyetajwa kwa jina moja la Zeb akiwa amepigw pingu baada ya kunaswa akiwa na mwanafunzi wa kiume gesti.
john de mkali; Aibu! Makahaba wajiuza kwa Tshs 2,000/= tu! Unakula Mzigo kwenye Bustani Kiroho safi.
“Sikuamini macho yangu usiku wa saa 2 hivi, nikiwa hapo bustanini nimeketi kwenye viti vilivyoko karibu na miembe mikubwa, pembeni walisimama wasichana kadhaa nikadhani nao wamekuja kupunga upepo au kupata
john de mkali. Aibu! Kamanda, Askari wake wanaswaa LAIVU wakizini..!!
Kamanda akiwa katika hali ya sintofahamu baada ya kunaswa akiwa na askari wake ambaye ni mke wa mtu.
Ijumaa, 25 Aprili 2014
Alhamisi, 24 Aprili 2014
JOHN DE MKALI; ETI HUYU NAYE NI MWIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI........INASIKITISHA SANA
![]() |
Huyu ni yule muimba nyimbo za injili aliyekengeuka na kuanza kupiga ma
picha ya utupu, anaitwa Maheeda, sasa aamua kuwatambulisha wapiga picha
za uchi wenzie baada ya
john de mkali; wasanii 10 wa bongo fleva wenye tabia mbaya.
1. T.I.D Kauli mbaya na dharau ni kawaida kwake maneno kama mseeenge kuuuma na nk yanauhusiano mzuri na mdomo wake
Jumatano, 23 Aprili 2014
JOHN DE MKALI; JACK PATRICK ALIYEKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA MAPYA YAIBUKA
Jumanne, 22 Aprili 2014
john de mkali; jokate azungumza kuhusu tuhuma za kupiga picha za uchi.
Jokate Mwegelo amekanusha vikali kuhusiana na picha za utupu zilizozagaa mitandaoni hivi karibuni kuwa si zake.
Akizungumzia ishu hiyo, Jokate ambaye pia ni mwigizaji alisema kuna mitandao imeanzisha uvumi huo kwa kuweka picha ya mtu mwingine na kudai ni yeye.
Akizungumzia ishu hiyo, Jokate ambaye pia ni mwigizaji alisema kuna mitandao imeanzisha uvumi huo kwa kuweka picha ya mtu mwingine na kudai ni yeye.
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)









