Jumapili, 24 Novemba 2013

Hebu cheki adhabu aliyopewa dada huyu baada ya kuiba simu

hebu cheki vituko vilivyo katika dunia hii..

Me mwenyewe sielewi.....

Mtoto wa will thimith azama kwenye penzi na mdogo wake kim kardashian.

Mbunge wa kawe Mh Halima Mdee amfagilia Diamond Platnum.

Mbunge wa kawe amwagia sifa msanii wa bongo fleva Naseeb Abdul (Diamond) kwa kazi zake.
Mbunge wa kuchaguliwa jimbo la kawe katika bunge la Tanzania kupitia chama cha upinzani CHADEMA

wema amtimua director wake.

Msanii wa bongo muvi wema abrahamu sepetu amemtimua aliyekuwa director wake anae fahamika kwa jina la Chid.

Sijui nakwa mungu kuna chama???

Sista Maria Lumbangula wa ntakatifu benedict akigalagala chini akiwa na mwanamke mwenzake wakati

Jumatatu, 18 Novemba 2013

fahamu sababu kuu za mimba kuharibika.

Kuharibika kwa mimba ni tatizo linaloweza kumpata mwanamke yoyote.

Sababu za mimba kuharibika mara kwa mara kitaalam hazijulikan, ila kuna vyanzo vinavyojulikana kusaidia mimba kutoka. mbali na mimba zinazotolewa kwa njia haramu, sababu za zinazotoka bila kulazimishwa zinatajwa kuwa ni maumbile ya uridhi, kwa maana ya kuwa na vinasaba ambavyo si vyakawaida kwahiyo kiumbe kinakuwa katika hali ambayo kwa asili mimba haiwezi kukua.

MAUMBILE YAI.


Diamond, ahudhuria harusi ya Peter w P,SQUARE


Pichani ni diamond platnum akiwa na bwana harusi Peter wap square pale walipokutana lagos nigeria kwenye harusi ya peter. Diamond sahivi yuko nigeria kwa ajiri ya utengenezaji wa video yake ya My number one  remix aliyomshirikisha msanii kutoka huko huko nigeria anaitwa Davido nathani tutegemee mambo makali kutoka kwa diamond.

Jumamosi, 16 Novemba 2013

Ijumaa, 15 Novemba 2013

PEMBE ZA NDOVU ZAKAMATWA BANDARINI ZANZIBAR ZIKIWA SAFARINI KWENDA NJE

kamanda wa polisi zanzibar akiogoza kikosi kukagua magunia yaliyokuwa na pembe za ndovu zilizokamatwa katika bandari ya zanzibar yakiwa katika harakati za kusafirishwa kwenda nje kupitia bandari hiyo zoezi hilo

AJALI YATOKEA IRIGA BAADA YA BASI DOGO KUGONGANA NA LORI

gari lenye namba za usajiri T606 BJB lililokuwa linatokea stend kuu ya iringa kuelekea ifunda limepata ajali baada ya kugongana na lori lenye namba za usajiri T234 CLU ambalo ni mali ya T.H clements & Son

KAMA ULIKUWA HUJUI HII NDO LISTI YA MABILIONEA WA AFRIKA. JE UNAJUA KWAMBA BAKHRESA KAZIDIWA MKWANJA NA HUYU JAMAA

Mtandao wa Forbes umetoa listi mpya ya matajiri 50 kutoka Afrika na vyanzo vya pesa zao, umri wao pamoja na pesa wanazomiliki. Listi imekuwa toped na mnigeria Aliko Dangote(pichan hapo juu) na

TAZAMA PICHA ZA MWANAMKE MTUNISHA MISULI KUTOKA KENYA HATARI SANA.

 Pamoja na kazi yake hiyo ya kutunisha misuli lakini hajapoteza uzuri na umbo lake.

Diamond kwenda jela kisa mamake

johnnick
Staa wa na mkali wa bongo fleva Nasseb Abdul DIAMOND amefunguka na kusema yuko tayari kwenda jela kwa mtu yoyote atakae mchezea au kumzalilisha mama yake Bi Snura kasim.

Alhamisi, 14 Novemba 2013

Imefichuka kumbe diamond na penny ni ndugu!!!

imefichuka kumbe mastaa walio katika mahusiano ya kimapenzi diamond platnum na penny mwingilwa penny ni ndugu.
Diamond ndie msanii anae tamba katika tasnia ya muziki wa bongo fleva akisumbua vibaya