Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo mastaa wa nje. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo mastaa wa nje. Onyesha machapisho yote

Jumamosi, 24 Mei 2014

Jumamosi, 26 Aprili 2014

john de mkali; davido aonesha jeuri ya pesa anunua mkoko wa mwaka 2014

Show za kimataifa anazofanya Davido na utajiri wa familia yake unamweka kwenye nafasi nzri na kupata kila atakacho kwenye maisha. Ni Hit maker mkubwa Africa kwa

Ijumaa, 25 Aprili 2014

JOHN DE MKALI; TAARIFA KUHUSU ALBUM MPYA YA MICHAEL JACKSON

Ikiwa Imepita kama Mwezi mmoja toka taarifa kuwa kuna album ya Mpya ya Michael Jackson inaandaliwa itakayoitwa Xscape, Kwa sasa imetolewa taarifa rasmi kwamba

Alhamisi, 24 Aprili 2014

JOHN DE MKALI; MKE WA PETER OKOYE, LOLA OMOTAYO AJIBU SHUTUMA ZA KUSABABISHA UGOMVI WA P-SQUARE

Wakati mashabiki wa kundi la muziki linaloiwakilisha vizuri Afrika kidunia P-Square kutoka Nigeria wanaendelea kuwaombea ndugu hao wamalize tofauti zao, mke wa Peter

Jumatano, 5 Machi 2014

Jumamosi, 1 Machi 2014

John de mkali RIHANNA NA DRAKE SI SIRI TENA WWENYEWE WAJIACHIA BILA UOGA...

Drake alikuwa Paris kwa ajili ya show lakini mapaparazi wamejua kwamba Rihanna na Drake walikuwa wana-hang out pamoja weekend iliyopita sehemu mbalimbali na kupata dinner kwenye mgahawa maarufu wa L’Avenue.

Jumatatu, 18 Novemba 2013

Diamond, ahudhuria harusi ya Peter w P,SQUARE


Pichani ni diamond platnum akiwa na bwana harusi Peter wap square pale walipokutana lagos nigeria kwenye harusi ya peter. Diamond sahivi yuko nigeria kwa ajiri ya utengenezaji wa video yake ya My number one  remix aliyomshirikisha msanii kutoka huko huko nigeria anaitwa Davido nathani tutegemee mambo makali kutoka kwa diamond.