Bilionea wa Nigeria, Folorunsho Alakija amempiku Oprah Winfrey kama
mwanamke mweusi tajiri zaidi duniani kwa kuwa na utajiri wa dola bilioni
7.3 kwa mujibu wa orodha iliyotolewa na jarida la Ventures
Africa. Bilionea wa Nigeria, Folorunsho Alakija amempiku Oprah Winfrey
kama mwanamke mweusi tajiri zaidi duniani kwa kuwa na utajiri wa dola
bilioni 7.3 kwa mujibu wa orodha iliyotolewa na jarida la Ventures
Africa.
Oprah ana utajiri ufikao dola bilioni 2.9 kwa mujibu wa Forbes. Hata
hivyo orodha ya hivi karibuni ya Forbes ilionesha kuwa Alakija ana
utajiri wa dola bilioni 2.5.
Utajiri wa mwanamke huyo umetokana na biashara ya mafuta na anamiliki visima vingi vya mafuta nchini Nigeria.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni