Ijumaa, 5 Septemba 2014

Kwa madada. Makalio makubwa ndo habari ya mujini.










Ni shida Hapa Mjini kwa Wadada , Kila Mdada anataka Awe na Mkia as ndo kitu kina kiki hapa Town, Inafikia Wengine wanaamua kutafuta Makalio Fake kwa Njia yoyote ile Kama kumeza dawa za mchina ama kuvaa vigodoro..Wadada Jamani Taratibu Siku hizi Wanaume hata hatujui lipi Fake lipi Original.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni