Kijana
wa miaka 19 ambaye ni msichana, Delfina Cedeno anasumbuliwa na magonjwa
ya Ajabu ambapo unaambiwa akilia huwa anatoa damu na sio mpaka akilia
ila kuna saa tu ikifika huwa anatoa machozi na kuanza kulia na kutoa
damua machoni mwake
Baada
ya kijana huyu kugundua ugonjwa wake, alianza kulia na ndipo damu
zilivyotoka kwa zaidi ya siku 15 bila ya kuacha kupumzika licha ya hivyo
pia anasumbuliwa na ugonjwa wa nywele ambapo nywele zake zina nyonyoka
kama manyoya ya kuku ambapo damu ikitoka zaidi anahitaji damu ya
kuongezea mwili kwake ili kusaidia yeye kuendelea kuishi
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni