Jumamosi, 26 Julai 2014

john de mkali; Hiki ndio kijiji ambacho Meya wake alipiga marufuku watu kufa

SarpourenxKuna habari za matukio kwenye hii dunia ambazo ukipewa unaweza kukataa au kuwa mbishi kukubali ila ni habari za kweli kama hii ya kijiji cha Sarporeunx huko kusini mashariki mwa Ufaransa ambacho Meya wake alipiga marufuku watu kufa baada ya kuishiwa maeneo ya kuzika watu.

john de mkali; Hapa kuna picha 17 na taarifa ya shehena iliyokamatwa kenya na hivi viungo vya binadamu ikisemekana vinatumika kwenye dini ya kishetani.

Wengi walioipata hii taarifa wanashangaa imekuaje ni viungo tu vya binadamu vimepatikana kwenye kontena zima vikiwa vinaingizwa Kenya? vinakwenda wapi? kazi yake ni nini?

john de mkali; Hii ikufikie unaetumia muda mwingi wa siku kuketi nyumbani, kwenye gari au pengine

Screen Shot 2014-04-11 at 1.35.39 AMUlikua unafahamu kwamba kuketi kwa muda mrefu ni hatari kwa afya yako? unaambiwa binadamu wa kawaida kwa sasa anakaa kwa muda wa saa nane mpaka saa tisa kila siku akiwa kazini, kwenye gari au nyumbani.

john de mkali; Baada ya ndege 3 kuanguka ndani ya wiki, hii ni ya 4 iliyorudi ilikotoka sababu ya maneno ya huyu

Screen Shot 2014-07-26 at 6.24.08 AMTayari mpaka sasa abiria zaidi ya 300 wamepoteza maisha kwenye ajali tatu za ndege zilizotokea ndani ya wiki moja kuanzia wiki iliyopita  ambazo ni ndege ya Malaysia, nyingine huko Taiwan na nyingine iliyoanguka Mali.

john de mkali; Picha za mwanzo za ajali ya ndege ya Air Algerie.

Screen Shot 2014-07-26 at 4.23.21 AMKwa mujibu wa daily mail hizi ni picha za kwanza za mabaki ya ndege ya Air Algerie ambayo ilianguka mashariki mwa nchi ya Mali ikitokea Ouagadougou Burkina faso kuelekea Algiers Algeria.