Alhamisi, 14 Novemba 2013

Imefichuka kumbe diamond na penny ni ndugu!!!

imefichuka kumbe mastaa walio katika mahusiano ya kimapenzi diamond platnum na penny mwingilwa penny ni ndugu.
Diamond ndie msanii anae tamba katika tasnia ya muziki wa bongo fleva akisumbua vibaya
na kibao chake cha my number one wakati penny akivuta mkwanja kupitia utangazaji wa kituo cha televishen cha DTV

ISHU ILIVOKUWA

mtu wa karibu wa familia ya kina diamond alinyetisha kwamba diamond na penny ni ndugu wa damu lakin jambo hilo limejulikana hiv karibun sahivi wana haha kuzima soo hilo
kwa sharti la kutotajwa jina alisema.. ndugu wa damu wa familia moja wanagongana. Wanajaribu kufichaficha hili jambo lakin ina shindikana. Unajua kinacholeta shida ni kamba diamond na penny watakavyokuwa baada ya uamuzi kutolewa.
Ngumu ni itakavyokuwa cjui watakaa kama kaka na dada ama!!! na diamond atachukulia penny kama dadake!!!!!!!!!!!!!!!

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni