johnnick
Staa wa na mkali wa bongo fleva Nasseb Abdul DIAMOND amefunguka na kusema yuko tayari kwenda jela kwa mtu yoyote atakae mchezea au kumzalilisha mama yake Bi Snura kasim.
Mkali huyo alizungumza hayo katika kipindi cha take one kinachowekwa hewani na Zamaradi Mketema katika televisheni ya Clouds Tv. Diamond alisema bora mtu akamchezea yeye kuliko mama yake mzazi hasa waandishi amesema bora wakampakazia yeye uwongo kuliko mamayake.
Niko radhi kwenda jela kama itatokea kwa mtu yeyote akamdhalilisha mama yangu kwan nitamfanya kitu kibaya ambacho nitashtakiwa nipelekwe jela bora mtu anichezee mimi kuliko mama yangu . alisema diamond
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni