BLOG HII NI KWA MATUKIO NA HABARI ZA NDANI NA NJE YA NCHI,SKENDO, MAHUSIANO, VITUKO, AFYA NK kama una habari piga 0742370795
Jumamosi, 1 Machi 2014
John de mkali; SAKATA ZIMA LA USTAZ JUMA NA MUSOMA NA MSANII PNC HILI HAPA
Baada ya kutimuliwa MTANASHATI msanii PNC arudi mikono nyuma akimuomba boss wake Ostaz Juma arudi tena katika lebo hiyo. Picha hii imeonekana katika account ya facebook ya Ostaz Juma ikisema
John de mkali: HII KALI DAKTARI FEKI MWINGINE AKAMATWA MUHIMBILI
Jana February 25 Uongozi wa hospitali ya taifa muhimbili kwa kushirikiana na maafisa wake wa usalama wamemnasa daktari feki aliyekuwa akiwatapeli fedha wagonjwa na watu mbalimbali wanaofika kwa ajili ya kupatiwa huduma za matibabu katika hospitali hiyo.
Jumatano, 26 Februari 2014
John de mkal "Jinsi ya kupenda kwa vitendo"
"Jinsi ya kupenda kwa vitendo"
Kama ilivyo mambo mengine kuwa “affection” ni swala la kujifunza, baadhi ya wanaume waliokuzwa/kulia kwenye jamii yenye mfumo Dume (Waafrika kwa ujumla) huwa hawajui kuonyesha hilo hitaji, embu tuliite

Jumapili, 16 Februari 2014
AJALI; WATATU WAPOTEZA MAISHA....... TAHADHARI PICHA ZINATISHA.
Watu watatu akiwemo dereva wa gari ndogo aina ya ford fiesta nyeusi na wanawake wawili wamepoteza maisha katika ajali hiyo mbaya iliyohusisha gari dogo aina ya ford fiesta nyeusi HXP1538 na lori aina ya mercedse 1318
Tukio hilo la kusikitisha lilitokea katika mji wa Crateus jimbo la kaskazini mashariki nchini Brazili lililipoti kuwa ndani ya gari hiyo Ford fiesta kulikuwemo na watu watano wanaume watatu na wanawake wawili.

Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)

.jpg)