BLOG HII NI KWA MATUKIO NA HABARI ZA NDANI NA NJE YA NCHI,SKENDO, MAHUSIANO, VITUKO, AFYA NK
kama una habari piga 0742370795
Jumamosi, 24 Mei 2014
john de mkali; nasemekana mpenzi wa Ney wa Mitego anataka kugawana vitu na Ney,sababu ipo hapa.
Miongoni mwa mabalozi wapya kutoka mtandao wa Airtel ni pamoja na Ney wa mitego,stori ambayo imemfikia Soudy Brown ni kwamba mpenzi wake ametaka kugawana vitu na Ney wa Mitego ambavyo amevipata wakiwa pamoja,maongezi ya Ney wa Mitego alipoulizwa na Soudy Brown juu ya tuhuma hizi kama ni za kweli hiki ndicho alichojibualichokisema
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni