Jumamosi, 31 Mei 2014

john de mkali; MATATIZO YANAYOSABABISHA MWANAMKE ASISHIKE MIMBA

Na Dk. Benadetha
MWANAMKE kutoshika mimba kumegawanyika katika makundi makubwa mawili. Kwanza ni hali iitwayo ‘primary Infertility’ ambapo mwanamke hana historia ya kupata ujauzito. Pili kuna hali iitwayo ‘Sekondari Infertility’,

JOHN DE MKALI; Fahamu sifa za mwanaume mwenye mapenzi ya dhati!

HII ni safu ya wale walio tayari kuambiwa ukweli hata kama utawauma. Ndiyo...siku zote ukweli huwa unauma. Karibuni sana marafiki katika uwanja

JOHN DE MKALIII; HAYA NDIYO MAMBO 8 UKIFANYA LAZIMA MPENZI WAKO ATULIE ,HAKUNA UCHAWI WALA NDUMBA HATA ULAZIMA WA KUTUMIA MABAVU




1)  Ili mwenza wako atulie hakikisha unajua nini hapendi: yaani ni hivi hakikisha kitu ambacho hutaki akufanyie vile vile na wewe usifanye  kitu ambacho hapendi.

JOHN DE MKALI; MCHINA NOOOMA TAZAMA PIKIPIKI.

Mkulima mmoja nchini China ametengeneza sanduku ambalo pia ni kama pikipiki.

JOHN DE MKALI; GEORGE TYSON (MUME WA MONNALISA) WA BONGO MOVIE AFARIKI DUNIA


George Tyson enzi za uhai wake.

john de mkali; MWANAFUNZI WA MLIMANI (UDSM) AFARIKI DUNIA GHAFLA ,TAZAMA PICHA HAPA




Habari zilizotufikia hivi punde zinasema kuwa mwanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es salaam  aliyejulikana kwa jina la Sakabenga (pichani enzi za uhai wake

John de mkali; Haya sasa!!! MKUU WA WILAYA APIGA MARUFUKU VIJANA KUVAA NGUO CHINI YA MAKALIO ( KATA K)

MKUU wa Wilaya ya Sumbawanga mkoani Rukwa, Mathew Sedoyeka amepiga marufuku kwa kijana yeyote wa kiume mahali popote wilayani humo kuvaa

JOHN DE MKALI; Utata Mtupu!! UCHAWI WAHUSISHWA KIFO CHA MSANII WA BONGO MOVIE RACHEL HAULE NA MTOTO WAKE,JENEZA HALIKUINGIA NDANI

Mume wa marehemu Saguda akilia kwa uchungu kwenye jeneza la Rachel  Haule ‘Recho’ au Sheila.
 

VILIO! Vilio! Vilio! Wakati aliyekuwa mwigizaji wa sinema za Bongo, Rachel  Haule ‘Recho’ au Sheila na mtoto wake wakizikwa jana kwenye Makaburi

JOHN DE MKALI; TAZAMA PICHA ZA MATUKIO YA MSIBA WA RACHEAL HAULE.

 Picha ya Marehemu Sheila Leo Haule (Rachel) ikiwa pembeni ya Jeneza lake mchana wa leo wakati wa kuagwa kwa mwili wake,kwenye viwanja vya Leaders Club,Jijini Dar es Salaam.

JOHN DE MKALI; SIKILIZA NA DOWNLOADI WIMBO WA OMMY DIMPOZ NDAGUSHIMA

DOWNLOAD

JOHN DE MKALI; HIVI NDIVYO MSANII RECHO NA MWANAE WATAKAPO ZIKWA.

RECHO: Hapa ndipo atakapo anza siku yake ya kwanza leo kwenye makazi yake mapya mbinguni. Shimo dogo ni kaburi la mtoto wake aliyefariki muda mfupi

john de mkali; RACHEL BONGO MUVI AFARIKI DUNIA.

Msanii wa Bongo Movie, Rachel Haule 'Recho' (pichani), amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es slaaam.

Jumamosi, 24 Mei 2014

john de mkali; Harusi ya KANYE WEST, KIM KARDASHIAN kufuru….!!

10
Kim na Kanye wakijiandaa kuelekea kwenye gari tayari kwa kufika uwanja wa ndege na kusafiri kwenda kufunga ndoa.

john de mkali; Al Shabaab washambulia Bunge Somalia huku wabunge wakiwa ndani kwa mkutano….!!

Kundi la wapiganaji wa kiisilamu la Al Shabaab limeshambulia bunge la Somalia na kusababisha vifo vya watu kadhaa mjini Mogadishu.
 
al shabaab

john de mkali; Hatimaye WASTARA apata Mchumba LONDON…Avishwa pete..!!

wastara
From London With Love …!!! Star mkubwa wa filamu nchini Tanzania Wastara Juma ambaye kwasasa yupo London Uingereza amevishwa pete ya uchumba huko na mwanaume anayeonekana hapo pichani. Wastara aliweka picha kadhaa kwenye akaunti zake za mitandao ya kijamii na wengine kudhani ni filamu mpya.

john de mkali; Picha: Safari ya Mwisho ya mpendwa wetu Amina Ngaluma ‘Japanese’

1
Mwili wa marehemu Amina Ngaluma ukishushwa tayari kuingia kaburini kwa maziko, Machimbo Mnarani.

john de mkali; Harusi ya mbunge maarufu Viky Kamata yahairishwa,augua ghafla na kulazwa hospitali….!!

Mbunge Vicky Kamata akiwa amelazwa Hospitali ya Tabata General, Dar es Salaam jana
Bunge mjini Dodoma na maeneo mengine nchini, kutokana na kile kilichoelezwa kwamba harusi hiyo ilipangwa kuwa ya kifahari ikitarajiwa kutumia Sh96 milioni.

john de mkali; Mwili wa Amina Ngaluma wawasili nchini jana usiku….

Amina Ngaluma 'Japanese' enzi za uhai wake.
Amina Ngaluma ‘Japanese’ enzi za uhai wake.
MWILI wa mwimbaji mahiri nchini aliyefariki dunia wiki iliyopita nchini Thailand, Amina Ngaluma ‘Japanese’ umewasili jijini Dar es Salaam jana usiku huu.
Nyota huyo wa zamani wa bendi mbalimbali nchini ikiwamo Double M Sound, African Revolution ‘Wana Tamtam’, mpaka mauti yanamfika alikuwa mwanamuziki wa bendi ya Jambo Survivors.
Kwa mujibu wa mume wa marehemu, Rashid Sumuni, msiba upo kwa wazazi wa marehemu Kitunda, Machimbo, Dar es Salaam ambako ndiko maziko yatafanyika hapo kesho mchana.
MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU AMINA MAHALI PEMA PEPONI. AMEN!

john de mkali; “Tunapendana sana na Hunter,hatuwezi kuachana kwa mipango ya binadamu” SNURA

Mamaa Majanga, Snura Mushi akijiachia kijanja na mpenzi wake DJ Hunter.
Mamaa Majanga, Snura Mushi akijiachia na mpenzi wake DJ Hunter.
MAMAA Majanga, Snura Mushi amekiri kutoka katika uvungu wa moyo wake kuwa amedhibitiwa vilivyo na penzi la jamaa anayetoka naye kwa sasa aitwaye DJ Hunter hivyo hawezi kuachika.

john de mkali; “Nimebanwa na kazi,ndio maana nimeshindwa kuja kwenye msiba wa Kuambiana…” LULU

 Elizabeth Michael ‘Lulu’.
STAA wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amedaiwa kuukacha msiba wa aliyekuwa nguli wa filamu za Kibongo, Adam Philip Kuambiana na kujitetea kuwa alibanwa na majukumu.

john de mkali; Wema,Mtitu wakwidana live wakiporomosheana kashfa na matusi mazito….!!

KIMENUKA! Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu na Mkurugenzi wa Kampuni ya Five Effects, William Mtitu wamekwidna ‘live’ ndani ya gari, Risasi Jumamosi lina kisanga kamili.
wemakilioStaa katika tasnia ya filamu za Kibongo, Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu

john de mkali; Gabo apata ajali mbaya ya gari….!!

MWIGIZAJI wa Bongo Movies, Salim Ahmed ‘Gabo’ amepata ajali mbaya ya gari maeneo ya Kiwalani jijini Dar.Kwa mujibu wa chanzo makini, Gabo aliyekuwa katika gari binafsi, aligongana na gari lingine na kupata jeraha mguuni hivyo kulazimika kulazwa kwa takriban wiki tatu kisha kuruhisiwa mwishoni mwa wiki iliyopita.
gaboMwigizaji wa Bongo Movies, Salim Ahmed ‘Gabo’
Akizungumza na paparazi wetu baada ya kutoka hospitali, Gabo aliyeitendea haki Sinema ya Majanga ya Mahsein Awadh ‘Dk Cheni’, alieleza mazingira ya ajali.

john de mkali; Shoga Maarufu Jijini DAR ‘Anti Suzy’ Anusurika Kufa baada ya Kupewa Kichapo Kikali.


BAADA ya shoga maarufu jijini Dar es Salaam, Ibrahimu  Mohamed ‘Anti Suzy’ (25), kutoboa siri kwenye vyombo vya habari jinsi watoto wa kiume wanavyoharibiwa na wanaume na kueleza namna alivyobwagiwa mtoto wa mwaka amtunze, mwanamume aliyembwagia mtoto ameibuka na kumjeruhi kwa visu akitaka kumuua.Mwanamume huyo mwenye mke, awali alikuwa akiishi na Anti Suzy kama mume na mke eneo la Jangwani, baada ya kumkimbia mkewe na alikorofishana na shoga huyo baada ya kumfanyia fujo na kumuibia.
Akizungumza na gazeti la Habari Leo jana nyumbani kwake, ‘Anti Suzy’ aliyejitangaza kuwa ni muathirika wa Virusi Vya Ukimwi kwa zaidi ya miaka 10 sasa, alisema mwanamume huyo alikuwa akimsumbua warudiane, lakini yeye alikataa na kumtaka aishi na mkewe na kutunza watoto badala ya kumng’ang’ania.
“Nilimwambia simtaki, vituko alivyonifanyia ukiacha kuniletea mtoto wa mwaka na nusu wa kike nimlee hapa nyumbani, alikuwa akinipiga, kunitukana na aliniibia vitu vyangu vyote. Kwanza nilishamwambia nimeathirika na Ukimwi ananifuata nini?” Alihoji shoga huyo.
“Jana (juzi) alinipigia simu akinitaka turidiane nikamwambia asinifuate kwanza nimeshaenda kwenye vyombo vya habari.”
Alisema alimwambia hivyo ili asimfuate, lakini baada ya kumweleza hayo, alimvamia nyumbani juzi kati ya saa nne na tano asubuhi akiwa na panga na visu akimtishia kumuua kama hawatarudiana na kama ataendelea kwenda kwenye vyombo vya habari kumuanika mambo yake.
“Nilikimbilia ndani na yeye akanifuata humo, akarusha panga anikate shingoni huku akisema ataniua, nikakwepa, lakini likanijeruhi shingo, kama haitoshi akachukua kisu alichokuwa nacho akanikata vidole.
“Damu ikaanza kutoka nyingi, alivyoona hivyo akanikaba kooni ili aninyonge, majirani waliposikia nakoroma, wakavunja mlango na kuniokoa,” alidai Anti Suzy.
ANTY SUZY

john de mkali; Ndoa ya mil. 96 ya Vicky kamata hatihati kufungwa….

ILE ndoa inayodaiwa ikifungwa harusi yake itatafuna shilingi milioni 96 kati ya Mbunge wa Viti Maalum Geita kwa tiketi ya CCM, Vicky Paschal Kamata na mwanaume aliyejulikana kwa jina la Charles iko katika hatihati ya kufungwa kutokana na kuibuka kwa mizengwe.

Habari za ndani zinadai kuwa mizengwe iliyoibuka katika hatua za mwisho zimemfanya mwanaume huyo kuamua kubatilisha ndoa ambayo ilikuwa ifungwe Mei 24, mwaka huu jijini Dar es Salaam.
vik

john de mkali; Hizi Ndizo Picha za nusu Uchi za IRENE UWOYA zinazosambaa kwa kasi Mtandaoni..!

Picha zinazodaiwa kuwa ni mpya za star wa filamu nchini Irene Uwoya akiwa bafuni na taulo na picha nyingine akiwa ameondoa taulo kifuani na kujiziba kwa mikono zimeanza kusambaa mitandaoni kwa kasi.
Uwoya alikuwa kimya kidogo huku habari zake zikiendelea kutawala mitandaoni na magazetini kama kawaida lakini kwa picha hizi inaonekana ametoa  ishara  kuwa yupo kama kawa…
uwoya

john de mkali; LAANA! Rehema Fabian atupia tena picha za nusu utupu INSTAGRAM

Mshiriki wa Miss Kiswahili 2009, Rehema Fabian
Mshiriki wa Miss Kiswahili 2009, Rehema Fabian


Picha hiyo ilimuonesha akiwa amejiziba usoni na kuacha wazi sehemu kubwa ya mwili wake ambapo baadhi ya wafuasi wa mtandao huo walimkalisha kwa kumpa za chembe.

Picha ya nusu uchi aliyotupia miss Kiswahili 2009, Rehema Fabian katiaka mtandao wa Instagram.
Picha ya nusu uchi aliyotupia miss Kiswahili 2009, Rehema Fabian katiaka mtandao wa Instagram.
“Huwezi kuwa mtu unayejiheshimu katika jamii halafu ukatupia picha

john de mkali; AIBU NZITO! MBOMGO FLEVA ANASWA NA DENTI WA SEKONDARI UFUKWENI..!!

Msanii chipukizi wa Bongo Fleva, Venas John Bebu ‘Bebuz’ afumwa akivunja amri ya sita ufukweni
Tukio hilo la aibu lilijiri wiki iliyopita mishale ya saa 8:00 usiku kwenye Ufukwe wa Coco, Dar ambapo polisi jamii walimnasa jamaa huyo aliyedaiwa ni swahiba mkubwa wa mwanamuziki, Abdul Sykes ‘Dully Sykes’ ambao hivi

john de mkali; Aibu! Njemba anaswa na Denti wa kiume GESTI

Njemba aliyetajwa kwa jina moja la Zeb akiwa amepigw pingu baada ya kunaswa akiwa na mwanafunzi wa kiume gesti.

john de mkali; Kisketi cha DIAMOND chawaacha watu Midomo wazi…!!

Wajameni mimi sijui mshamba au ndo kupitwa na mambo , hivi hii staili ya kuvaa sketi kwa wanaume ndio fashion

john de mkali; Aibu! Makahaba wajiuza kwa Tshs 2,000/= tu! Unakula Mzigo kwenye Bustani Kiroho safi.


MAKAHABA
“Sikuamini macho yangu usiku wa saa 2 hivi, nikiwa hapo bustanini nimeketi kwenye viti vilivyoko karibu na miembe mikubwa, pembeni walisimama wasichana kadhaa nikadhani nao wamekuja kupunga upepo au kupata

john de mkali. Aibu! Kamanda, Askari wake wanaswaa LAIVU wakizini..!!

Kamanda akiwa katika hali ya sintofahamu baada ya kunaswa akiwa na askari wake ambaye ni mke wa mtu.

john de mkali; BAADA YA UKIMYA WA MUDA SASA HAYA NDIO MAPYA KUHUSU NDEGE YA MALAYSIA ILIYOPOTEA.

Waziri Mkuu wa zamani wa Malaysia amesema Shirika Kuu la Kijasusi la Marekani CIA linaficha maelezo muhimu kuhusu hatima ya ndege ya Malaysia iliyotoweka. Katika taarifa aliyochapisha katika weblogu yake siku ya Jumapili, Mahathir Mohammad

john de mkali; DODOMA:BAADA YA MH SHABIBY KUTAKA KUTAPELIWA NA MWANDISHI WA HABARI TAPELI MWINGINE AKAMATWA BUNGENI LEO

ta3Tapeli Sugu aliyejulikana kwa Jina la Ally Mwinyi Kutoka Vikindu-Pwani aliyekamatwa Parking za Madereva wa Wabunge-Dodoma akiwa chini ya Ulinzi tayari kwa Kupelekw

john de mkali; HAYA SASA FID Q NA DAYNA WAINGIA KATIKA MKANGANYIKO, FID Q AMCHANA LIVE, MKOROGO NAO WAHUSIKA

fidqhusu moja kwa moja Dayna.
Kutokana na sababu ambazo zilikua nje ya uwezo hukusikiliza You heard ya jana Mei 20 sikuiweka hapa ,sasa kwa kuwa

john de mkali; SOMA HAPA ILI KUJUA HISTORIA NZIMA YA MAISHA YA WEMA SEPETU


Taja wasichana wote wa Bongo Movies wanaotamba Tanzania, usipoliweka jina la Wema Sepetu orodha haijakamilika. Wema Sepetu ni supastaa asiyefutika kwenye vichwa vya habari vya magazeti ya udaku na websites/blogs. Mfahamu zaidi kwa undani

john de mkali; KIVAZI CHA LEO, STAR GANI WA BONGO ALISHAWAHI VAA KAMA HUYU?

john de mkali; WANACHUO WA UDOM WALICHOSEMA KUHUSU KULALA/KUJIUZA KWA BAADHI YA WABUNGE

Screen Shot 2014-05-21 at 10.50.47 AMRipota wa nguvu Simon Simalenga Dodoma amekutana na Wanachuo kwenye chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) ambapo kwenye bunge la bajeti linaloendelea May 19 2014 Wabunge walipitisha bajeti ya wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi ambayo ni Bilioni 799.2

john de mkali; nasemekana mpenzi wa Ney wa Mitego anataka kugawana vitu na Ney,sababu ipo hapa.

picccMiongoni mwa mabalozi wapya kutoka mtandao wa Airtel ni pamoja na Ney wa mitego,stori ambayo imemfikia Soudy Brown ni kwamba mpenzi

john de mkali dr chen alishwa sumu lulu aa

Katika hali ya kushangaza na isiyo eleweka mwigizaji Mahsein Awadhi maarufu kama Dr. Cheni amekumbwa na balaa la kulishwa chakula chenye sumu weekend iliyopita alipokuwa kwenye sherehe moja ya harusi jijini Dar es Salaam alipohudhuria kama MC au mshereheshaji wa harusi hiyo.

Akiongea leo asubuhi, Dr. cheni alisema kuwa baada ya kumaliza kula chakula ambacho alipakuliwa na mmoja wa wahudumu wa sherehe hiyo alianza kujisikia vibaya na kuishiwa nguvu na aliamua kutoka nje kujaribu kupata hewa akidhani ladba ni joto la ukumbini ila hali ilizidi kuwa mbaya na aliamua kutafuta maziwa akihisi labda inaweza kuwa vidonda vya tumbo ndipo alipoanza kutapika na baadae kukumbizwa hospitalini na ndipo alipogungulika kuwa amelishwa chakula chenye sumu.

Tulipomuuliza labda sababu gani anahisi zinaweza kuwa zimepelekea watu hao kutaka kumdhuru alisema kuwa, mpaka sasa hajaweza kupata jibu kamili ila anaamini watu waliofanya hivyo wanamfahamu na wana nia mbaya sana kwake na sio watu wema.

john de mkali; kim atupia gauni la milion 33

Kim K. avaa Gauni yenye thamani ya USD 20,000 sawa na TZS. Milioni 33, kwenye bachelorette party kabla ya Harusi yake ambayo inatarajiwa kufanyika kesho.  Pia inasemekana Rachel Roy aliyesababisha ugomvi wa Jayz na shemeji yake Solange naye atakuwepo.

john de mkali; hatari DENGUE yatua mwanza


UGONJWA wa homa ya dengue yaani “dengue fever” umeingia jijini Mwanza ambapo mgonjwa wa kwanza ameripotiwa kulazwa hospitali ya mkoa, Sekou Toure. Mganga Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Valentino Bangi amehibitisha kuingia ugojwa huo ndani ya mkoa wake.