Jumanne, 22 Aprili 2014

John de mkali; KAJALA: NINA MACHOZI YA KARIBU.

STAA wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja ‘K’ amefunguka kuwa machozi yake huwa yapo karibu hivyo ukimuudhi kidogo tu lazimaali


Akipiga stori mbili-tatu na Bongowood, Kajala alisema: “Machozi yangu yapo karibu sana sijui kwa nini huwa nashindwa sana kujizuia yaani mtu akinikorofisha kidogo tu lazima nitoe machozi ndipo hasira zitulie.”

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni