Marehemu Anastazia Lackford Magafu enzi za uhai. |
Waombolezaji
wakisubiri kuuaga mwili wa marehemu Anastazia Lackford Magafu
aliyefariki baada ya kudaiwa kuchomwa moto na baba yake kisha kupewa
juisi yenye sumu.
Add caption |
Mwili wa Anastazia Lackford Magafu wakati ukiagwa katika Shule ya Sekondari Mwanza.
Mwili wa marehemu Anastazia Lackford Magafu juzi uliagwa katika Shule ya Sekondari Mwanza alipokuwa akisoma enzi za uhai wake.
Inadaiwa kuwa kifo cha marehemu Anastazia kimesababishwa na sumu
iliyowekwa kwenye juisi aliyopelekewa na baba yake, Lackford Magafu
maarufu kwa jina la DJ Lackford, wakati akiwa amelazwa katika hospitali
ya Rufaa ya Bugando (BMC) akitibiwa majereha ya moto.
Tukio la kifo hicho liliotokea Aprili 16 mwaka huu, ikiwa ni muda
mfupi baada ya kunywa juisi inayodaiwa kuwa na sumu, hivyo kuzua utata
wa chanzo cha kifo hicho.
>>>GPL
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni