BLOG HII NI KWA MATUKIO NA HABARI ZA NDANI NA NJE YA NCHI,SKENDO, MAHUSIANO, VITUKO, AFYA NK
kama una habari piga 0742370795
Jumatano, 5 Machi 2014
John de mkali; AIBU JAMANIIIIIIIIIIIIIIIIII!!!!!..PICHA ZA NUSU UTUPU ZA RAFIKI MSALITI WA WEMA SEPETU KWA KIGOGO ZAVUJA, CHEKI HAPA
Rafiki kipenzi wa Wema Sepetu mwanadada Naima ambaye ndiyo anamiliki mpenzi wa zamani wa shosti yake anayejulikana kwa jina la Clement ambaye ni kigogo na pedeshee wa mjin hapa, hivi karibuni aliachia picha mtandaoni akiwa mtupu na kufanya watu washikwe na mshangao na kumshangaa dada huyu.
Onyo la Mwisho..Picha haina maadili....
Tunaomba radhi kwa picha hiyo.............................................
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni