Kylie Jenner (mdogo wa kim kardashian) na Jaden Smith mambo si mabaya.
Binti sasa anapata huduma zote anazostahili kupata mtoto wa kike kutoka kwa mpenzi wake wa kiume. Hili linathibitika pale ambapo kidume kiliingia kwa SONARA na kununua mkufu wa dhahabu na kumvalisha mpenzi wake.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni