gari lenye namba za usajiri T606 BJB lililokuwa linatokea stend kuu ya iringa kuelekea ifunda limepata ajali baada ya kugongana na lori lenye namba za usajiri T234 CLU ambalo ni mali ya T.H clements & Son
LTD eneo la kitwiru ambapo ndipo ajali ilipo tokea. Ajali hii ilitokea baada ya dereva wa basi dogo alipojaribu kumpita dereva wa roli bila mafanikio watu watatu wamejeruhiwa katika ajali hiyo
huu ndo muonekanowa basi dogo wakati wa ajali
roli likiwa eneo la tukio
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni