BLOG HII NI KWA MATUKIO NA HABARI ZA NDANI NA NJE YA NCHI,SKENDO, MAHUSIANO, VITUKO, AFYA NK kama una habari piga 0742370795
Jumatano, 27 Mei 2015
Alhamisi, 16 Aprili 2015
Kumbe nay wa mitego ni Freemason...!!! john de mkali

Kama wewe ni msikilizaji wa nyimbo za mkali wa bongofleva Nay wa Mitego nina uhakika utakua umeisikia sana namba 966 ambayo huitaja sana kwenye mashairi yake lakini mpaka sasa hajawahi kusema ina maana gani.
Kwenye exclusive na millardayo.com juzi Nay alisema kuna siku tu atakuja kueleza maana ya hii namba pamoja na baadhi ya alama ambazo amekua akizitumia kwenye picha zake za video ambazo zimesababisha Mama yake mzazi kumuita na kutaka amweleze zina maana gani manake amekua akisikia watu wengi wakimuusisha Mwanae na imani ya Freemason
Pamoja na kwamba wengi walianza kuzihusisha hizi alama na hii namba imani ya kuabudu Miungu, Nay amesema hayuko kwenye dhehebu lolote ambalo linaabudu Miungu, watu wavute subira iko siku atasema kila kitu ikiwemo mipango yake na hii namba ambayo inaonekana ameiandalia kitu kikubwa mpaka kulichukulia gari lake jipya.
Hii namba unayoiona hapa kwenye picha ya kwanza haijamuangukia bahati mbaya bali alifanya namna mpaka akaipata wakati wa kwenda kusajili gari lake kwenye mamlaka ya mapato Tanzania (TRA)

Alhamisi, 19 Februari 2015
Picha ya Wema Sepetu Aliyojibinua Tako Yaleta Vijimaneno, Wengi Wamtaka Aache Maisha ya Maigizo ..Soma Hapa john de mkali
Udaku Special Kutoka Insta: Leo nimepitia ukurasa wa Malkia wa Insta nikakutana na Picha hiyo ya Wema Akiwa ameegemea gari aliyopewa kama zawadi na Martin Kadinda siku ya Birthday yake huku akiwa amekibinua cha chini ya mgogo ..Baadhi ya watu wamemsifia na wengine kujaribu kumshauri ..Soma Comments hapo chini kutoka ukurasa huo :
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)





.jpg)