Alhamisi, 17 Novemba 2016

Mwanamke Subiri Uvuliwe, Usivue Mwenyewe. john de mkali

Kuna tabia fulani kwa baadhi ya wanawake mnapokua faragha kukimbilia kuvua nguo, badala ya kusubiri kuvuliwa na mpenzi wake.

Chereko Za Wimbo Wa SALOME Zamliza Saida. john de mkali

john de mkali
Anga la burudani nchini hivi sasa lipo kwenye msisimko wa tenzi ya Wasanii Diamond Platnumz na Raymond ambao wameachia songi la Salome, ambalo ni marejeo ya songi pendwa lililloimbwa mwaka 2000 na dada yetu wa Kihaya, Saida Karoli, liitwalo ‘Maria Salome’ almaarufu ‘Chambua kama karanga’..

Ijumaa, 19 Juni 2015

BREAKING NEWSssssss... Trafik agongwa na kufa papo hapo... john_de_mkali

Ajali Arusha: Askari Polisi wagongwa na gari la mbuga za wanyama (tourism).
Ni baada ya dereva kusimamishwa na matrafik akakataa, ndipo
Trafiki wakapiga simu mbele, na alipofika
akakutwa askari wameweka kizuizi cha gar la polisi lakini hakusimama na ad
akawagonga. matrafik watatu wamepoteza maisha

Jumatano, 27 Mei 2015

Dizain hii beyonce anamchokoza mungu.. john de mkali


Mwanamuziki na mke wa jay z beyonce amewashangaza baadhi ya watu. Hii ni baada ya kuanzisha kanisa lake na kujiita kua yeye ndie yesu na mungu.


kanisa hilo litaanza kazi yake mapema mwaka huu na litaitwa National church of bey


na biblia yake ni tofauti na nyingne.



tuachie maoni yako.

Alhamisi, 16 Aprili 2015

Kumbe nay wa mitego ni Freemason...!!! john de mkali


Kama wewe ni msikilizaji wa nyimbo za mkali wa bongofleva Nay wa Mitego nina uhakika utakua umeisikia sana namba 966 ambayo huitaja sana kwenye mashairi yake lakini mpaka sasa hajawahi kusema ina maana gani.
Kwenye exclusive na millardayo.com juzi Nay alisema kuna siku tu atakuja kueleza maana ya hii namba pamoja na baadhi ya alama ambazo amekua akizitumia kwenye picha zake za video ambazo zimesababisha Mama yake mzazi kumuita na kutaka amweleze zina maana gani manake amekua akisikia watu wengi wakimuusisha  Mwanae na imani ya Freemason
 
Pamoja na kwamba wengi walianza kuzihusisha hizi alama na hii namba imani ya kuabudu Miungu, Nay amesema hayuko kwenye dhehebu lolote ambalo linaabudu Miungu, watu wavute subira iko siku atasema kila kitu ikiwemo mipango yake na hii namba ambayo inaonekana ameiandalia kitu kikubwa mpaka kulichukulia gari lake jipya.
Hii namba unayoiona hapa kwenye picha ya kwanza haijamuangukia bahati mbaya bali alifanya namna mpaka akaipata wakati wa kwenda kusajili gari lake kwenye mamlaka ya mapato Tanzania (TRA)