Jumapili, 28 Desemba 2014

MTU MREFU NA MTU MFUPI DUNIANI WANAPOKUTANA ... john de mkali

DIAMOND PLATNUMZ: AJIWA JUU NA MASHEMEJI "TEAM WEMA SEPETU" ... john de mkali


Kinara wa Team Wema Dougiemasta15 huku instagram amefunguka haya kuhusu Diamond:

kiroho safi kaka shemej wala hatugombani..ujue dai ss sote ni waafrica ndio wepesi kuja na conclusion na

NAY NA HII AKADUMBA.... MMH IM SPEACHLESS...john de mkali


Nay wa mitego hii sasa ni zidi ya Akadumba.Msanii Nay wa mitego amekuwa akiposti picha akiwa na Hot bebez tofauti tofauti na kuandika baadhi ya vipande vya wimbo wake mpya wa akadumba.

Jumapili, 7 Desemba 2014

Unampenda au unajilazimisha? Jipime kwa maswali haya..john de mkali

Watu wengi wako kwenye uhusiano wa kimapenzi bila kujua kama kweli wanapenda kwa dhati au wanajilazisha? Ili kutambua upendo wako jipime kwa maswali yafuatayo:

USIKU WA WAFALME DAR LIVE DIAMOND: NILISHAGANDISHWA NIGERIA SAA 8...john de mkali

DAR ES SALAAM,  Tanzania
BAADA ya kuchukua tuzo tatu kwa mpigo za Channel O zijulikanazo kama Channel O Africa Music Video Awards (Choamva), staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, amefunguka ya moyoni na kusema kuwa alipokuwa nchini Nigeria alishawahi kugandishwa kwa saa 8 kisa kufanya kolabo.