Jumamosi, 1 Machi 2014

JOHN DE MKALI; Baada ya ukimya malow kashuka na hii.

Huu ni wimbo mpya wa Marlaw ambao rasmi kauachia leo maalum kwa mashabiki wake wanaofatilia muziki wake,marlaw kwa sasa ni baba wa mtoto mmoja wa kiume

John de mkali; wimbo wa shetta ft diamond

Ni ngoma nyingine sheta kamshirikish diamond platnum inaitw KEREWA chini ya produser SHEDDY CLEVER hii ni audio yake isikilize.

John de mkali RIHANNA NA DRAKE SI SIRI TENA WWENYEWE WAJIACHIA BILA UOGA...

Drake alikuwa Paris kwa ajili ya show lakini mapaparazi wamejua kwamba Rihanna na Drake walikuwa wana-hang out pamoja weekend iliyopita sehemu mbalimbali na kupata dinner kwenye mgahawa maarufu wa L’Avenue.

John de mkali; LADY JAYDEE AJIFUNZA KARATE.

Lady JayDee aeleza sababu za kujifunza Karate...Anataka kumkabili nani?
2/24/2014 habari za kitaifa
Moja kati ya surprises zilizokuwepo wiki iliyopita ni pamoja na habari ya Lady Jay Dee aka Anaconda kujifua kikomando kuumudu mchezo wa Karate, habari iliyoambatana na picha zikimuonesha akifundishwa mchezo huo tena akiwa ndani ya mavazi rasmi.
Itakuwaje Jide akishakuwa fiti kwenye mitindo hatari ya karate kama Shotokan, Wado-ryu, Shito-ry na Goju-ryu? Na je, anataka kumkabili nani hasa? Haya ni kati ya maswali ambayo wengi tulijiuliza.

John de mkali; BASI LA BUNDA EXPRESS LAGONGANA NA TRENI.

Basi la Bunda Express lagongana na Treni Manyoni mkoani Singida.....Mmoja afariki dunia, 38 wajeruhiwa vibaya
2/28/2014 habari za kitaifa