Jumamosi, 1 Machi 2014

John de mkali; LADY JAYDEE AJIFUNZA KARATE.

Lady JayDee aeleza sababu za kujifunza Karate...Anataka kumkabili nani?
2/24/2014 habari za kitaifa
Moja kati ya surprises zilizokuwepo wiki iliyopita ni pamoja na habari ya Lady Jay Dee aka Anaconda kujifua kikomando kuumudu mchezo wa Karate, habari iliyoambatana na picha zikimuonesha akifundishwa mchezo huo tena akiwa ndani ya mavazi rasmi.
Itakuwaje Jide akishakuwa fiti kwenye mitindo hatari ya karate kama Shotokan, Wado-ryu, Shito-ry na Goju-ryu? Na je, anataka kumkabili nani hasa? Haya ni kati ya maswali ambayo wengi tulijiuliza.

John de mkali; BASI LA BUNDA EXPRESS LAGONGANA NA TRENI.

Basi la Bunda Express lagongana na Treni Manyoni mkoani Singida.....Mmoja afariki dunia, 38 wajeruhiwa vibaya
2/28/2014 habari za kitaifa

John de mkali; SHEIKH AMWAGIWA TINDIKALI

Sheikh wa Msikiti Mkuu wa Bondeni mkoani Arusha amwagiwa Tindikali....Kosa lake ni kukataa kutangaza JIHAD ambayo ni vita ya silaha dhidi ya Waislamu na wasio Waislamu
3/01/2014 habari za kitaifa
Sheikh wa Msikiti Mkuu wa Bondeni mkoani Arusha, Mustaph Kiago (49) na mwanaye Khalid Mustapha (10), wamemwagiwa kimiminika kinachodhaniwa kuwa ni tindikali wakati wakiingia msikitini.


John de mkali; JIDE ADAI TALAKA

UNAWEZA ukakataa lakini ndivyo ilivyotokea, ndoa ya mtangazaji mahiri Bongo, Gardner Gabriel Fikirini Habash ‘Kapteini’ na Mbongo Fleva, Judith Wambura Mbibo ‘Jide’ iliyofungwa miaka 9 iliyopita inadaiwa kuingia kidudu kufuatia mke huyo kuomba aandikiwe talaka, ni Ijumaa Wikienda pekee lenye uthubutu wa kuripoti mkasa wote.

MATATIZO YANAYOSABABISHA MWANAMKE ASIPATE MIMBA

MATATIZO YANAYOSABABISHA MWANAMKE ASISHIKE MIMBA

MWANAMKE kutoshika mimba kumegawanyika katika makundi makubwa mawili. Kwanza ni hali iitwayo ‘primary Infertility’ ambapo mwanamke hana historia ya kupata ujauzito. Pili kuna hali iitwayo ‘Sekondari