"Jinsi ya kupenda kwa vitendo"
Kama ilivyo mambo mengine kuwa “affection” ni swala la kujifunza, baadhi ya wanaume waliokuzwa/kulia kwenye jamii yenye mfumo Dume (Waafrika kwa ujumla) huwa hawajui kuonyesha hilo hitaji, embu tuliite
BLOG HII NI KWA MATUKIO NA HABARI ZA NDANI NA NJE YA NCHI,SKENDO, MAHUSIANO, VITUKO, AFYA NK kama una habari piga 0742370795
Jumatano, 26 Februari 2014
Jumapili, 16 Februari 2014
AJALI; WATATU WAPOTEZA MAISHA....... TAHADHARI PICHA ZINATISHA.
Watu watatu akiwemo dereva wa gari ndogo aina ya ford fiesta nyeusi na wanawake wawili wamepoteza maisha katika ajali hiyo mbaya iliyohusisha gari dogo aina ya ford fiesta nyeusi HXP1538 na lori aina ya mercedse 1318
Tukio hilo la kusikitisha lilitokea katika mji wa Crateus jimbo la kaskazini mashariki nchini Brazili lililipoti kuwa ndani ya gari hiyo Ford fiesta kulikuwemo na watu watano wanaume watatu na wanawake wawili.

Jumapili, 29 Desemba 2013
bajaji yagongana na gari
Ajali iliohusisha gari moja lenye namba za usajili T512 BSA na bajaji yenyenamba za usajili T654 CBT ambapo ilitokea juzi maeneo ya sinza polisi mabatini. Katika ajali hiyo hakuna aliyekufa ila ilijeruhi mmoja
Jumamosi, 7 Desemba 2013
MABASI YA MWENDOKASI YAWASILI NCHINI TAZAMA PICHA.
Mabasi ya mwendo kasi 2014 kimara kivukoni
Mabasi yaendayo kasi limewasili nchini na kuanza kufanya majaribio katika barabara zilizokamilika huku
Mabasi yaendayo kasi limewasili nchini na kuanza kufanya majaribio katika barabara zilizokamilika huku
Ijumaa, 6 Desemba 2013
RAISI WA ZAMANI WA AFRIKA KUSINI, NELSON MANDELA AFARIKI DUNIA
Rahisi wa zamani wa Afrika kusini Nelson Mandela afariki dunia huko Johanesburg Afrika kusini usiku wa wa jana alhamisi (desemba 5) akiwa na umri wa miaka 95
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)
.jpg)