Msanii huyo, ambaye ni member wa kundi la hip hop la Necessary Noize, amekufa kimapenzi na Mtanzania mwingine tena, producer Herry Sappy, anayefanya shughuli zake za kimuziki kwenye studio ya Home Boyz Productions ya Kenya. Kwa mujibu wa bongo5.com, Nazizi amethibitisha kuwa na uhusiano na Herry Sappy tangu Valentine’s Day, Februari 14, na uhusiano wao ni wa dhati Chini hapa ni picha za wapendanao hao, pamoja na moto wa Nazizi na aliyekuwa mume wake.
Nazizi na aliyekuwa mumewe, Vinny, wakati mapenzi yalipokuwa
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni