Alhamisi, 17 Novemba 2016

Faida 17 za Kufanya Mapenzi Salama Kwa Afya Yako. john de mkali

KujamianLakini, kuna
a (ama tendo la ndoa) ni moja ya mambo muhimu sana katika maisha ya mwanadamu. Ni ukweli usiofichika kwamba wengi wetu tungependa kuwa na mwenza ambaye mnaridhishana katika tendo la ndoa. Si hivyo tu, bali tendo hili huleta maelewano katika uhusiano wowote ule.

Unapenda Kufanya Mapenzi; Style 6 Za Kuifundi za Kumkuna Mpenzi Wako..! john de mkali

 “Ndugu wasomaji wangu, katika pitapita nyingi katika mitandao tofauti nikakutana na habari njema kama hii, nikizingatia pia wasomaji wengi hupenda sana elimu hii nikaamua kuchukua nafasi hii kuhakikisha unafikiwa na uhondo huu, napenda kukushirikisha kwani wengi waliopo katika mahusiano wanamengi sana yanayowakumba hasa katika kupeana tamu tamu za radha tofauti.

WhatsApp Video Call Tayari; La Kufanya Kuiwezesha Simu Yako. john de mkali

Hivi sasa mnamo tarehe ya jana 15/11/2016 simu nyingi zilipata updates mpya inayokuwezesha kupiga simu ya video kupitia WhatsApp.
whatsapp-video-calls
Mmiliki wa mtandao huo Bw. Mark Zucherberg kupitia ukurasa wake wa facebook aliandika kuwa “…sasa tunawaletea video call kupitia whatsapp, ikiwa simu ya sauti ya kawaida ilikuwa kwa haraka zaidi na ombi

Ajali ya basi la LA POWER TOOL. john de mkali

Basi ya kampuni ya LA Power Tool lililokuwa linatokea nchini Zambia kuja Tunduma limepata ajali mbaya na kuua abiria wote, ni abiria wawili tu ndio waliotoka salama, chanzo  cha ajali bado hakijajulikana.

MWANDISHI WA HABARI MCHAFU KULKO WOTE. john de mkali

Raphael Tenthani inasemekana kuwa ndiye mtangazaji mchafu zaidi kutokea duniani
Raphael mara zote utakazo kutana nae huwezi ukamkuta nadhifu , mara kwa mara utamkuta amevaa nguo zilizo chakaa na muda mwingine nguo zenye matobo au viraka